moyo wa bilionea
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 327
- 649
Asilimia 90 wakopaji huwa hawalipi
lipa mkuu,embu tupe uzoefu kipind unapata hela alafu unatakiwa kulipa,huwa karoho gan huwa kanakujiagaMimi nadaiwa hela nyingi


Hii kitu nimefanya sanaAisee. Mdaiwa afungwi.
Katika maisha yako ya utafutaji epuka sana kumkopesha mtu pesa kwa lengo la kurudishiwa pesa yako ya awali.
Kumbuka kuwa pesa unayompa mtu kwa mkopo sio yako tena.
Aliwahi kuniambia baba yangu"mtu akikuomba umkopeshe pesa mpe nusu ya pesa alio omba kama sadaka mbele ya Mungu, Ila usije weka matarajio yeyote kwa pesa uliomkopesha mtu.
Mfano
Rafiki akikuomba umkopeshe elfu Kumi, basi wewe kiroho Safi mpe elfu tano ili kumuwezesha katika jambo husika.
Sio ndugu
Sio rafiki
Wala nini.
Usikopeshe Ila wezesha.
Wapo wengi sana walirudishwa nyuma kwa kukopesha pesa kwa watu.
Asante
Oyaa sikukopeshi basi😅Upo sahihi
Utanipa tu😃Oyaa sikukopeshi basi😅
Kukupa sawa si unajua nyie mnapokea kila kitu hadi utamu?😅😅Utanipa tu😃
Kuolewa hapana,labda kunipa tu😉Kukuoa sawa si unajua nyie mnapokea kila kitu hadi utamu?😅😅
Kuolewa hapana,labda kunipa tu😉
Sirekebishi,ishatoka hiyo...usitie hofu humu unaandika chochote hata usichomaanisha😉Hapo kuolewa ni typing error nilimaabisha kukupa hebu rekebisha
Huna maana kabisa😂rekebisha bhana ipo siku italeta shidaSirekebishi,ishatoka hiyo...usitie hofu humu unaandika chochote hata usichomaanisha😉
Shida gani? Afu unachat na To yeye hakuna atakaechukulia serious coz mi huwa nachat chochote na yeyote Sina mtu humu Mimi.Ila kama wife yupo humu😃Utaelewa SoMo😉Hu
Na maana kabisa😂rekebisha bhana ipo siku italeta shida
Yupo ndg yangu usinifanyie hivi nafumwa mchana kweupeeShida gani? Afu unachat na To yeye hakuna atakaechukulia serious coz mi huwa nachat chochote na yeyote Sina mtu humu Mimi.Ila kama wife yupo humu😃Utaelewa SoMo😉
Mwambie aje inbox nimweleze namna ya kuishi na viumbe nyie.Nataka nimwambie tunachoangalia wenzie ni "je anakumbuka kulea familia? Vingine tunamwachia mwanaume mwenyewe aamue juu ya maisha yake.Yupo ndg yangu usinifanyie hivi nafumwa mchana kweupee
Usituharibie mahaba ewe kiruka viunzi😂😂Mwambie aje inbox nimweleze namna ya kuishi na viumbe nyie.Nataka nimwambie tunachoangalia wenzie ni "je anakumbuka kulea familia? Vingine tunamwachia mwanaume mwenyewe aamue juu ya maisha yake.
Ngoja muisome🤣🤣🤣Usituharibie mahaba ewe kiruka viunzi😂😂