The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,251
- 2,166
Katika haya maelezo yako yote,haujajibu maswali yangu.Mungu anaishi ndani yetu sikiliza sauti ya ndani ya Mungu inakuambia nini.
Mfano Mungu anakupa maelekezo usile chakula hicho unasikia sauti ya Roho mtakatifu ndani yako inakusemesha usile hicho chakula .ni vizuri kutii..
Kupena mikono kama unasikia sauti ndani yako inakuzuia kupena mikono unatii pia kama haina ulazima.
NI VIZURI KUSIKILIZA SAUTI YA MUNGU NA KUITII
kitabu cha 1fal 13:1-34, soma kitabu cha wafalme wa kwanza 13:1-34
utaona nabii kijana hakusikikiza sauti ya Mungu iliyomwambia asile chakula yeye akala akafa.
Anyway,asante,endelea na mada yako,ila tambua neno moja,MUNGU HASHINDWI NA WACHAWI,NA WALA HATUTAKIWI KUCHUKUA TAHADHALI YOYOTE JUU YA WACHAWI IKIWA TAYAIR TUMEKUBALIWA NA MUNGU.