interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
....Hata mkioa/kuolewa tena? Ina maana kuna siku mnachepuka dhid ya wenza wenu wapya??[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwenye mapenzi hata kama mmetoana ngeu bado kuna siku mtaifuta ngeu kwa mahaba.Once umefanya nae tendo,huyo ni wako daima.Trust me.Kuachana hakuja wahi kuwa kuzuri hata siku moja.Lakini kwa kuwa ninyi mwajuana vilivyo, mapenzi ni sehemu yenu,no matter what.
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Sema tunachepuka tena?. Mbona unajitenga nasi kana kwamba si miongoni mwetu?....Hata mkioa/kuolewa tena? Ina maana kuna siku mnachepuka dhid ya wenza wenu wapya??[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema tunachepuka tena?. Mbona unajitenga nasi kana kwamba si miongoni mwetu?
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Umeona eeeeh?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji120][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app