ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,488
Mimi na madanga ni vitu viwili tofauti wifi yangu mdogo wako ndo kanikimbia hata nikimtafuta simpati[emoji19]Hawezi kunidanganya wewe ndio unanidanganya itakuwa umepata danga huko ukamtema mdogo wangu