Epuka kuoa umasikini na stress za kukuua

Epuka kuoa umasikini na stress za kukuua

Kwa nyuzi kama hizi nnazidi kuona hakuna mafundisho bora duniani kama ya Uislam.

Katika Uislam tuna vigezo vya kuoana; Kwa mali zao, kwa uzuri wao, kwa nasaba zao na kwa dini zao.
 
Acha uoga mtoto wa kiume wewe. Huo ni uoga wa maisha mkuu. Acha Mara moja hiyo tabia.

Ndiyo maana vijana wengi wa mijini mkiona demu katupia na ananata unakuta mnamuogopa hamtaki hata kumtongoza.

Ukioa au ukiwa na mwanamke mwenye changamoto anakufanya upanuke kiakili yani uwezo wa kutafuta pesa unakuwa mkubwa. Utajua channel nyingi sana za kutafuta hela mkuu.

Mpaka utajikuta unamfungulia mke wako duka la urembo, vipodozi na nduka la Nguo. Natumai ukifanya hivyo utakuwa umetibu hilo tatizo. Ukienda kufuata mzigo huko lazima uweke Nguo mbili au tatu kwa ajili ya mamaa.
Point yako bado kabisa, mtoa mada yupo sahihi zaidi
 
Back
Top Bottom