Epuka kufanya mambo yasiyokuwa ya msingi

Epuka kufanya mambo yasiyokuwa ya msingi

Ndio maana ya matumizi muhimu, MO au MENGI au SSB siku yake ya kuzaliwa anaweza lipia matibabu ya wagonjwa wa saratani, hizi ni baraka.

Ila don ataalika mademu na washkaji waje wammwagie maji na kunnywa ulanzi wa kutosha.
Hiyo ipo hata wewe unaweza kufanya, umemuona mengi bday yake na Jack wameifanyia nchi gani.
Kutoa kwa maskini na wahitaji inategemea na roho ya mtu...hata wewe unaweza mkuu na inabidi Leo ufanye hivo kaka
 
Umetoa mfano mzuri sana, baba yako alikua sahihi sana kutokukuamulia kipi kizuri na kipi kibaya kwako mpaka pale alipokupa nafasi ya wewe mwenyewe kuchagua na kutoa sababu kwanini umechagua ulichochagua....

Ndivyo inavyotakiwa kua katika maisha trust me leo hii ukimfata mtu anaefanya hizo sherehe ulizotolea mfano na ukamuuliza kwanini anafanya, anaweza kukupa jibu ambalo lina umuhimu upande wake na ukaridhika nalo kama ilivyokua kwa mzee wako......

Rejea kwenye samaki na dagaa ulivyowekewa na mzee na wewe ukachagua samaki, vipi kama mngekua wawili au tufanye wewe mwenyewe tu ungechagua dagaa na sio samaki na ukatoa sababu zilizokufanya uchague dagaa. Unahisi mzee asingekusifu na kusema umekua?
Naona umewaza sana mpaka umerudi,duh kwel mbongo hatar.
Ila hapo nilitaka ninyooshe hapo alitaka nichague kizur kulko kingine,yaan pale nnapokuwa nafanya maamuzi nnakuwa nina maamuzi sahihi kuliko mngn,mfano:kula kwa jasho lako na kula kwa jasho la mwngne kipi bora,kutumia pesa kwenye sherehe za harusi na kutumia pesa kwa ajili ya ada ya shule kipi bora?,kuhuza nyumba ukaweke ishima bar na kuhuza nyumba kwa ajili ya masomo ya mtoto kipi bora?.......so natakiwa kufanya mambo yaliosahh

Najua unajua kuna matumiz sahihi ya pesa,kuna mkuu hapo juu kasema mo siku yake ya kuzaliwa huwa anatoa matibabu kwa wagonjwa wa saratani

Na mwngne sku yake ya kudhaliwa uhalika marafk kufanya mambo ya anasa,
Hv mifano hyo unapata picha gani au unaelewa nini
 
Naunga mkono hoja
Naomba nikazie hoja hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
Fedha.jpeg
 
Mwambie rais wako pombe nae anakisingizio
Dahhhhh.....
Kwa jibu hili naomba nihitimishe kwa kusema kwamba.... nahisi una stress kama sio msongo...tehteehh [emoji23][emoji23]
Mambo ya Presidaa yametokea wapi tena...!!??
Ebu kwanza pumzika unywe maji kidogo mkuu, maana kuchamba kwingi mwisho utashika mavi buree....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona umewaza sana mpaka umerudi,duh kwel mbongo hatar.
Ila hapo nilitaka ninyooshe hapo alitaka nichague kizur kulko kingine,yaan pale nnapokuwa nafanya maamuzi nnakuwa nina maamuzi sahihi kuliko mngn,mfano:kula kwa jasho lako na kula kwa jasho la mwngne kipi bora,,kuhuza nyumba ukaweke ishima bar na kuhuza nyumba kwa ajili ya masomo ya mtoto kipi bora?.......so natakiwa kufanya mambo yaliosahh

Najua unajua kuna matumiz sahihi ya pesa,kuna mkuu hapo juu kasema mo siku yake ya kuzaliwa huwa anatoa matibabu kwa wagonjwa wa saratani

Na mwngne sku yake ya kudhaliwa uhalika marafk kufanya mambo ya anasa,
Hv mifano hyo unapata picha gani au unaelewa nini
Sio kuwaza sana ila tu nikwamba tupo humu huku tunaendelea na majukumu mengine...

Nakupata sana rafiki yangu una lengo na nia nzuri ya kutoa elimu flani hapa japo mimi hoja yangu ni kua huwezi ku-attack vitu hivi na hivi sio vya msingi eti kisa kwako havina umuhimu labda useme "kwa upande wangu vitu hivi na hivi sio vya msingi" hapo itakua hauna maana ya kua kwa wengine sio vya msingi....

Muda mfupi hapo kuna mtu kaniuliza yani wewe muda wote upo na simu tu hunaga vitu vingine vya kufanya? Sasa hapo kamaanisha kwamba kukaa na simu muda mrefu kwake haina faida, je vipi angeniuliza kwanini anakaa na simu muda mrefu na mimi nikamjibu kwamba kuna mada hapa nipo na wadau tunajadiliana. Unahisi bado angeona haina faida?
 
Mkuu ukiwa na pesa, Ada ya shule huwezi kuiwazia ni kitu kidogo mno, sanasana utawaza umpeleke mwanao shule gani bora hapa duniani, tunaowaza Ada za watoto ni sisi tusio na uhakika na hela
Mchango wa Harusi sio substitute ya ada.Labda kama watu wa Vijijini huko.
 
Sio kuwaza sana ila tu nikwamba tupo humu huku tunaendelea na majukumu mengine...

Nakupata sana rafiki yangu una lengo na nia nzuri ya kutoa elimu flani hapa japo mimi hoja yangu ni kua huwezi ku-attack vitu hivi na hivi sio vya msingi eti kisa kwako havina umuhimu labda useme "kwa upande wangu vitu hivi na hivi sio vya msingi" hapo itakua hauna maana ya kua kwa wengine sio vya msingi....

Muda mfupi hapo kuna mtu kaniuliza yani wewe muda wote upo na simu tu hunaga vitu vingine vya kufanya? Sasa hapo kamaanisha kwamba kukaa na simu muda mrefu kwake haina faida, je vipi angeniuliza kwanini anakaa na simu muda mrefu na mimi nikamjibu kwamba kuna mada hapa nipo na wadau tunajadiliana. Unahisi bado angeona haina faida?
Ilacumemjibu vizur maana unafanya mambo ya msingi,ila ngoja nkubaliane na wewe,lakn mada hiyo mkuu nltoa kwa upande kwnda kwa watu wngn. ..ndomana nmesema yawezekanq mm ndo nna huelewa mdogo kwaiyo n vizur ukaniweka sawa

Lakn bila na kuzunguuka huku na kule nnachokiongea umeelewa nini namaanisha
 
Dahhhhh.....
Kwa jibu hili naomba nihitimishe kwa kusema kwamba.... nahisi una stress kama sio msongo...tehteehh [emoji23][emoji23]
Mambo ya Presidaa yametokea wapi tena...!!??
Ebu kwanza pumzika unywe maji kidogo mkuu, maana kuchamba kwingi mwisho utashika mavi buree....[emoji23][emoji23][emoji23]
U welcome
 
Ilacumemjibu vizur maana unafanya mambo ya msingi,ila ngoja nkubaliane na wewe,lakn mada hiyo mkuu nltoa kwa upande kwnda kwa watu wngn. ..ndomana nmesema yawezekanq mm ndo nna huelewa mdogo kwaiyo n vizur ukaniweka sawa

Lakn bila na kuzunguuka huku na kule nnachokiongea umeelewa nini namaanisha
Nimekuelewa ndugu yangu pia naamini na wewe umeelewa nini namaanisha
 
Umenena vema sana [emoji122], ila nikuulize swali dogo tu "ni siku zipi kwako ambazo unazithamin au ni siku special za kuzienzi"?? Maana kwa maoni yako unatak kilasiku ziwe sawa yan flaaati
Mi siku ninayoithamini ni leo, maana ndo siku iliyonipa majukumu ya siku hiyo
 
Mada maalum
Katika maisha huwa kuna mambo watu hufanya lakini ukiangaliwa upande wa pili au jicho la tatu hayana maana binafsi haya ni mambo ambayo huwa siyafanya au sitoyafanya.
Pengine ni huelewa wangu mdogo nafikili hapa utaniweka sawa

*sherehe za HARUSI watu utumia mamilioni ya pesa kwa ajili ya harusi na wengine uchangia michango mingi kwa ajili yasherehe harusi,ila uwa sifikiri kwamba baraka za HARUSI hutokana na SHEREHE au ndoa kutambulika machoni kwa bwana haitaji sherehe,mi napendaga kama ya anko MAGU[emoji204][emoji204][emoji204]
Ndo mfano kwangu wa kuingwa kwani hana utofauti na yule aliefanya na mamilioni ya hela na ndoa ikafa baada ya wiki,

*siku ya WAPENDANAO huwa inanipita kushoto kabisa katika mambo ambayo sipendi kuyasikia moja wapo ni siku hii ya wapendanao,,,niliwahi kuachana na mtu wangu kisa kwanini sijamjaali siku hii maalum,nilimjibu neno UPENDO ipo siku zote,na ndicho ninachokiamini,aliniambia nikae mbali nae kwa maana nitamsumbua sijuw kumjali mwanamke,

*siku ya kuzaliwa kwangu huwa ni moja tu na haitojirudia siku hii na haitaji kumbukumbu kukumbuka siku hii,binafsi sijawahi kufanya sherehe ya kuzaliwa kwangu kwa kile nnachoamini kuwa,siku nilizaliwa ilipita siku nyngi na siwezi zaliwa upya kwa kufanya sherehe.siwezi kutumia pesa kununua cake na vinywaji kwa ajili ya siku yangu ya kuzaliwa ambayo haipunguzi wala kuongeza kitu ni bora nikachukue hela hiyo nikawape wenye mahitaji maalumu.

Wewe una mtanzamo gani unaweza kuchangia mtazamo wako..
Nice[emoji109]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom