Epuka kufanya mambo yasiyokuwa ya msingi

Epuka kufanya mambo yasiyokuwa ya msingi

Mada maalum
Katika maisha huwa kuna mambo watu hufanya lakini ukiangaliwa upande wa pili au jicho la tatu hayana maana binafsi haya ni mambo ambayo huwa siyafanya au sitoyafanya.
Pengine ni huelewa wangu mdogo nafikili hapa utaniweka sawa

*sherehe za HARUSI watu utumia mamilioni ya pesa kwa ajili ya harusi na wengine uchangia michango mingi kwa ajili yasherehe harusi,ila uwa sifikiri kwamba baraka za HARUSI hutokana na SHEREHE au ndoa kutambulika machoni kwa bwana haitaji sherehe,mi napendaga kama ya anko MAGU[emoji204][emoji204][emoji204]
Ndo mfano kwangu wa kuingwa kwani hana utofauti na yule aliefanya na mamilioni ya hela na ndoa ikafa baada ya wiki,

*siku ya WAPENDANAO huwa inanipita kushoto kabisa katika mambo ambayo sipendi kuyasikia moja wapo ni siku hii ya wapendanao,,,niliwahi kuachana na mtu wangu kisa kwanini sijamjaali siku hii maalum,nilimjibu neno UPENDO ipo siku zote,na ndicho ninachokiamini,aliniambia nikae mbali nae kwa maana nitamsumbua sijuw kumjali mwanamke,

*siku ya kuzaliwa kwangu huwa ni moja tu na haitojirudia siku hii na haitaji kumbukumbu kukumbuka siku hii,binafsi sijawahi kufanya sherehe ya kuzaliwa kwangu kwa kile nnachoamini kuwa,siku nilizaliwa ilipita siku nyngi na siwezi zaliwa upya kwa kufanya sherehe.siwezi kutumia pesa kununua cake na vinywaji kwa ajili ya siku yangu ya kuzaliwa ambayo haipunguzi wala kuongeza kitu ni bora nikachukue hela hiyo nikawape wenye mahitaji maalumu.

Wewe una mtanzamo gani unaweza kuchangia mtazamo wako..
Dah..Safi sana...hayo umeyaona siyo ya msingi kwa sababu zako...
Kila mmoja huliona jambo la msingi au siyo la msingi kutokana na sababu na vigezo vyake...
[emoji41]
 
Dah..Safi sana...hayo umeyaona siyo ya msingi kwa sababu zako...
Kila mmoja huliona jambo la msingi au siyo la msingi kutokana na sababu na vigezo vyake...
[emoji41]
Ila sisi ni binadamu mema na mabaya tuyajua mkuu..

Ni ukweli usiopngka watu uthamini michango ya harusi kuliko ada ya shule..kwani hilo nalo linaitsj kulitolea sababu mkuu
 
Ya Mungu mpeni Mungu,YA mwnadamy mpene mwanadamu

Mkuu utakuwa umejisahau kwamba ndoa ni baraka kutoka kwa mungu na sio matalumbeta na vuvuzela vya mwanadamu
Mkuu, ebu naomba nisiendelee kubishana na wewe.
Naona tayari umeingiza somo lingine ambalo pengine naona wazi kabisa hata haujui nini maana yake (ndoa/agano)
Na mbaya zaidi unaongeza mada kwa kijichanganya kwenye ya Mungu na Kaisari....[emoji23][emoji23]
 
Unaweza kuitumia kwa vitu vyenye faida mkuu
Kupeleka watoto shule ni bora kuliko michango ya harusi.
Lakin ajabu ni kwamba tz wanthamini michango ya harusi kuliko ada yashule

Unaweza kutumia hela kusaidia watu wenye maitaji kulko kuzipeleka kwenye mambo ya anasa
Nina uhitaji naomba msaada [emoji124]
 
Ila sisi ni binadamu mema na mabaya tuyajua mkuu..

Ni ukweli usiopngka watu uthamini michango ya harusi kuliko ada ya shule..kwani hilo nalo linaitsj kulitolea sababu mkuu
Dah....ndugu yangu..unayemchangia kwenye harusi yake .....anakualika na unakula na kunywa kwenye sherehe..kwa kifupi unatumia mchango wako....Sasa unayemchangia Ada ya shule kwa ajili ya binti yake anakualika wapi?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Africa tatzo tunattatzo la madlahi kwanza,,,naona hapo udilh na kutoa unadili na utakachopata
 
Dah....ndugu yangu..unayemchangia kwenye harusi yake .....anakualika na unakula na kunywa kwenye sherehe..kwa kifupi unatumia mchango wako....Sasa unayemchangia Ada ya shule kwa ajili ya binti yake anakualika wapi?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo utakuwa haupo ktk kutoa
 
Ukiwa huna mifereji ya uhakika na pesa lazma uwaze Kama jamaa, ila ukiwa nazo pesa kwelikweli na uhakika wa mifereji yake.... serious inaongea yenyewe na inakufundisha jinsi ya kuitumia yenyewe.
Mimi najua wenye mifereji ya pesa ni wabahiri kupita maelezo, ila wale wenye mito kama wale wa awamu ya nne ambao wengi imekauka ndio hutumia sana tena bila mpangilio.
 
Mimi najua wenye mifereji ya pesa ni wabahiri kupita maelezo, ila wale wenye mito kama wale wa awamu ya nne ambao wengi imekauka ndio hutumia sana tena bila mpangilio.
Mkuu inategemea kama ni pesa za mawazo sawa, hebu chukua mfano mengi ni bahiri?, mo bajeti yake aliyokuwa analipa kwa mazoezi pale hotelini alipotekwa nadhani unaijua?

Ukishakuwa na pesa za uhakika lazma zenyewe zikufundishe matumizi
 
Ndio maana ya matumizi muhimu, MO au MENGI au SSB siku yake ya kuzaliwa anaweza lipia matibabu ya wagonjwa wa saratani, hizi ni baraka.

Ila don ataalika mademu na washkaji waje wammwagie maji na kunnywa ulanzi wa kutosha.
 
Asant mkuu pamoja sana weka namba kuna vocha inakusubr
 
Umenikumbusha baba yangu aliniambia mwanngu fanya chchote unachokijua ila kisiwe kibaya,
Ilibidi nimuhulize sasa mimi nitajuaje kama ninachokifanya nikuzuri au kibaya,ikabdi alete dagaa na samaki akaniulza nitakula nini,nikamwambia samaki
Akaniletea asli na juis nichagua kimoja,ikabdi nichukue asali,sasa akaniulza kwaiyo hivyo ulivyochukua ndo vizur,nikakubali,akaniomba nitoe sababu,nikamjbu kwasababu ni vizur,
Kwaiyo hapo hakawa amejibu,mwanadamu anaupeo wa kutambua mabaya na mazuri...kwaiyo ufanye mazur kama ulivyofanya hapa.

Mwanadamu sio mnyama,sisi tuna upeo wakutambua wa kutambua lipi njema na mbaya,
Unawezakuwa unafanya kitu lakin utajua kuwa unachokifanya sio sahihi lakin unakipenda,kwaiyo si mbaya ukaanza kujirekebsha taratbu unapokutana na mada kama hizi za kukubadilisha,
Umetoa mfano mzuri sana, baba yako alikua sahihi sana kutokukuamulia kipi kizuri na kipi kibaya kwako mpaka pale alipokupa nafasi ya wewe mwenyewe kuchagua na kutoa sababu kwanini umechagua ulichochagua....

Ndivyo inavyotakiwa kua katika maisha trust me leo hii ukimfata mtu anaefanya hizo sherehe ulizotolea mfano na ukamuuliza kwanini anafanya, anaweza kukupa jibu ambalo lina umuhimu upande wake na ukaridhika nalo kama ilivyokua kwa mzee wako......

Rejea kwenye samaki na dagaa ulivyowekewa na mzee na wewe ukachagua samaki, vipi kama mngekua wawili au tufanye wewe mwenyewe tu ungechagua dagaa na sio samaki na ukatoa sababu zilizokufanya uchague dagaa. Unahisi mzee asingekusifu na kusema umekua?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom