Epuka kufanya mambo yasiyokuwa ya msingi

Utajuaje hili jambo ni lamsingi au sio la msingi kwa mtu mwengine?

Mifano uliyotoa kama sherehe ya harusi, siku ya kumbu kumbu ya kuzaliwa, au siku ya wapendanao naamini kabisa ni vitu vya msingi sana kwa wanaovifanya ndio maana wamefanya. Ila kwao sio vya msingi ndio maana huvifanyi.

Ila chaajabu sasa kuna vitu wewe unaweza kuvifanya ukaona vya msingi wakatokea watu wengine wakaona havina msingi.

Maisha tu ndivyo yalivyo na kila mtu anaishi vile anavyoona ni sawa kwake.
 
Ila bila bajeti mkuu mambo hayaendi,hata bill gate anabajeti anatoa mkuu ili kuendleza mambo yake maalumu,hivi ushwahi kumuona bill anavaa nguo za bei ghal licha pesa anazo,

Kuwa na nizamu ya pesa inafaa
Kuvaa ni hobby mkuu mtu anatoa msaada wa mabillion ya Dolla, Ina maana hakuna jipya kwake kwenye ishu ya matumiz ya pesa
 
Kwani haujui kwamba tunaitafuta pesa ili tuitumie...!!??[emoji53][emoji53]
Kuna tofauti kubwa kati ya wewe kuitumia pesa na pesa kukutumia wewe....
Pengine naomba nikuelekeze kama ifuatavyo:-

1. Harusi ni mambo ya kifamilia na kijamii, hivyo hili ni jambo ambalo haliepukiki.
Na ukijiepusha na michango hii patakua na either hauna hela ama kama pesa unayo na uka kaidi kuchangia ndugu, jamaa na marafiki..... basi hapo utakuwa umejijengea mahusiano mabaya na pengine hautokua unaendana ama kufanana na utamaduni wetu wa kiTanzania kama sio Africa.

2. Nikija kwenye swala la kusheherekea siku ya kuzaliwa.....
Hapa napenda niseme kwamba wewe pengine huwa haupo makini kidogo kwenye hizi mambo.
Kimsingi ni nadra sana kukuta mwanaume alie pevuka anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, huku akifanya sherehe ya nderomo na vifijo na akikata keki.

Ukichangamsha macho utakuja kugundua hizi sherehe (birthdays) huwa zina sheherekewa na akina mama na watoto. Na kwao hizi sherehe ni jambo kubwa na muhimu sana hasa pale wewe kama baba unapo wagharamia ili washeherekee, hii haiepukiki ikiwa kweli mwanaume una upendo kwa watoto wako, mke wako ama familia yako. Na kwakufanya hivyo hii ina add love and care value in to your lovely family.

Naomba nikutakie pasaka njema

Ila kumbuka wewe ndo unaitumia pesa ila sio pesa kukutumia wewe
 
*sherehe za HARUSI
Kuna watu wanajipatia ujira kwa kunogesha sherehe hizi. Matalumbeta, picha mjongeo na mnato, vivuli, mapambo n.k, n.k....
ukweli ni kwamba mbwembwe hizo zote ndo hufanya gharama za sherehe za harusi kuwa juu na hivyo kuhitaji usaidizi kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki. Ninadhani ifike pahala tubadilike tuache kuchangiana ili mwenye uwezo wa kufanya hivyo afanye kwa pesa zake mwenyewe. Ili michango ya kuhusisha ndugu, jamaa na marafiki ibakie misibani kwani kifo huja pasipo kupangiwa tarehe kama ilivyo sherehe za harusi.
 
Unaweza kuitumia kwa vitu vyenye faida mkuu
Kupeleka watoto shule ni bora kuliko michango ya harusi.
Lakin ajabu ni kwamba tz wanthamini michango ya harusi kuliko ada yashule

Unaweza kutumia hela kusaidia watu wenye maitaji kulko kuzipeleka kwenye mambo ya anasa
Hapa bado unamzungumzia mTanzania mwenye kipato cha kuunga unga aiseeee....
Na ndiomaana mwanzo kabisa nilisema kwamba, haya yana wezekana kama tu hauna hela
 
Utajuaje hili jambo ni lamsingi au sio la msingi kwa mtu mwengine?

Mifano uliyotoa kama sherehe ya harusi, siku ya kumbu kumbu ya kuzaliwa, au siku ya wapendanao naamini kabisa ni vitu vya msingi sana kwa wanaovifanya ndio maana wamefanya. Ila kwao sio vya msingi ndio maana huvifanyi....

Ila chaajabu sasa kuna vitu wewe unaweza kuvifanya ukaona vya msingi wakatokea watu wengine wakaona havina msingi....

Maisha tu ndivyo yalivyo na kila mtu anaishi vile anavyoona ni sawa kwake..
Umenikumbusha baba yangu aliniambia mwanngu fanya chchote unachokijua ila kisiwe kibaya,
Ilibidi nimuhulize sasa mimi nitajuaje kama ninachokifanya nikuzuri au kibaya,ikabdi alete dagaa na samaki akaniulza nitakula nini,nikamwambia samaki
Akaniletea asli na juis nichagua kimoja,ikabdi nichukue asali,sasa akaniulza kwaiyo hivyo ulivyochukua ndo vizur,nikakubali,akaniomba nitoe sababu,nikamjbu kwasababu ni vizur,
Kwaiyo hapo hakawa amejibu,mwanadamu anaupeo wa kutambua mabaya na mazuri...kwaiyo ufanye mazur kama ulivyofanya hapa.

Mwanadamu sio mnyama,sisi tuna upeo wakutambua wa kutambua lipi njema na mbaya,
Unawezakuwa unafanya kitu lakin utajua kuwa unachokifanya sio sahihi lakin unakipenda,kwaiyo si mbaya ukaanza kujirekebsha taratbu unapokutana na mada kama hizi za kukubadilisha,
 
Ila bila bajeti mkuu mambo hayaendi,hata bill gate anabajeti anatoa mkuu ili kuendleza mambo yake maalumu,hivi ushwahi kumuona bill anavaa nguo za bei ghal licha pesa anazo,

Kuwa na nizamu ya pesa inafaa
Wew billgate unamwonaga wapi mkuu?
 
Hapa bado unamzungumzia mTanzania mwenye kipato cha kuunga unga aiseeee....
Na ndiomaana mwanzo kabisa nilisema kwamba, haya yana wezekana kama tu hauna hela
Hata huwe na matrilion ya hela yataka nisadhamu,waliofanyikiwa na wanaondelea kufanyikiwa wananidhamu na pesa zao
 
Kuna watu wanajipatia ujira kwa kunogesha sherehe hizi. Matalumbeta, picha mjongeo na mnato, vivuli, mapambo n.k, n.k....
ukweli ni kwamba mbwembwe hizo zote ndo hufanya gharama za sherehe za harusi kuwa juu na hivyo kuhitaji usaidizi kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki. Ninadhani ifike pahala tubadilike tuache kuchangiana ili mwenye uwezo wa kufanya hivyo afanye kwa pesa zake mwenyewe. Ili michango ya kuhusisha ndugu, jamaa na marafiki ibakie misibani kwani kifo huja pasipo kupangiwa tarehe kama ilivyo sherehe za harusi.
Nitumie nmba yako ya mpesa after weekend unavoca ya bure mkuu
 
Kuvaa ni hobby mkuu mtu anatoa msaada wa mabillion ya Dolla, Ina maana hakuna jipya kwake kwenye ishu ya matumiz ya pesa
Mwnyw uzunguza ni kuvaa nguo za gharama haina maana.na misaada anayoitoa huwa iko kwny bajet maalumu kwa kila anachokifanya

na sio kwasababu ana hela tu ndo asiwaz kutumia akili......
 
Kwani haujui kwamba tunaitafuta pesa ili tuitumie...!!??[emoji53][emoji53]
Kuna tofauti kubwa kati ya wewe kuitumia pesa na pesa kukutumia wewe....
Pengine naomba nikuelekeze kama ifuatavyo:-
1. Harusi ni mambo ya kifamilia na kijamii, hivyo hili ni jambo ambalo haliepukiki.
Na ukijiepusha na michango hii patakua na either hauna hela ama kama pesa unayo na uka kaidi kuchangia ndugu, jamaa na marafiki..... basi hapo utakuwa umejijengea mahusiano mabaya na pengine hautokua unaendana ama kufanana na utamaduni wetu wa kiTanzania kama sio Africa.
2. Nikija kwenye swala la kusheherekea siku ya kuzaliwa.....
Hapa napenda niseme kwamba wewe pengine huwa haupo makini kidogo kwenye hizi mambo.
Kimsingi ni nadra sana kukuta mwanaume alie pevuka anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, huku akifanya sherehe ya nderomo na vifijo na akikata keki.
Ukichangamsha macho utakuja kugundua hizi sherehe (birthdays) huwa zina sheherekewa na akina mama na watoto. Na kwao hizi sherehe ni jambo kubwa na muhimu sana hasa pale wewe kama baba unapo wagharamia ili washeherekee, hii haiepukiki ikiwa kweli mwanaume una upendo kwa watoto wako, mke wako ama familia yako. Na kwakufanya hivyo hii ina add love and care value in to your lovely family.

Naomba nikutakie pasaka njema
Ya Mungu mpeni Mungu,YA mwnadamy mpene mwanadamu

Mkuu utakuwa umejisahau kwamba ndoa ni baraka kutoka kwa mungu na sio matalumbeta na vuvuzela vya mwanadamu
 
Ila bila bajeti mkuu mambo hayaendi,hata bill gate anabajeti anatoa mkuu ili kuendleza mambo yake maalumu,hivi ushwahi kumuona bill anavaa nguo za bei ghal licha pesa anazo,

Kuwa na nizamu ya pesa inafaa
Billgate na matajir wenzie huvaa nguo kutoka reputable brands tena original na grade one na pengine ni customized kabisa for them.

Unadhan shati la hermes original ni bei gani??
Au kiatu original cha LV ni bei gani??

Ukiona mtu kuvaa casual haimaanish kavaa bei ndogo mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom