Episode 5: Actors missing in action, Nape,Muhongo na Simbachawene

nchonga aliyebaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
588
Reaction score
1,050
Kuna movie moja imechezwa ya kisiasa,

Picha kali linaanza lubuva analitafsri lukoma amambaijo,

Actors
1.J P M main character
2. S S actress
3. K M actor
4.J N actor
5. Na Baraza la mawaziri

Uwanja wa mapambano ni J M T

Mapambano yanaanza mkuu anatoroka kwenye jumba jeupe anachungulia kulia na kushoto anaona hakuna anayemuona , anachukua mfagio anaibukia pale wanapovua samaki , anapiga nao story kidogo, Mara gafla wanakuja wale wasiojulikana ambao hawatajulikana kamwe kwa code zao, wanamwambia mkuu hapa si salama maliza usafi twende,

Usiku Yule alocheza episode ya 4 anapenda sana kukuna kichwani anampigia simu na kumueleza kwamba inakuwaje mzazi nakutimbia soon , main character anasema kesho nitakuwa na ziara ya kuwashtukiza pale wanaposhusha ma container niwakague,

Hayaaa sasaaa asubuhi zengwe kingine linaanza laziwa wakaguliwe wote walioficha sukari uku kukiwa na tishio la kubadili hela maana watu wameficha ndani

Uku zenjiberi kuna mmoja wa wana kungfuu ye yupo kwenye ndege anaomba kijiji Fulani wamsaidie kukalia kiota chake,

Uku upande wa pili actor nauye anaanza kuzingua anasema hatuonesha live bunge kabla hajamaliza ilo anajitokeza jamaa mmoja hivi wamepewa mamlaka ya kuongoza jiji kubwa, wanaanza kuzingua, wanaanza kuliana timing Kati ya nape na yeye, baadae inagundulika ugomvi ni kwa aliyerekodi huu mkanda, ikabid atengenezewe zengwe

Nape missing in action kanda inaganda kidogo,

Huku mpela mpela nikiendelea watu wanaanza kujiuliza kuwa kuna nini mbona hatuelewi, main actor akasema sipangiwi cha kusema

Mara kuna mtu anaforwad mkanda tunaona AKASYA wamekuja kutarihi wanalala pale hotel nzuri na wakimaliza wanalipa hela ya hoteli alafu watu wameshangilia kuwa ni malipo ya mchanga mweupe,

Movie linaendelea picha tamu sana reprofeseri anaamua kumwaga manyanga movei inaganda kidogo Muhongo missing in action

Movie tamu sana aisee sasa upande wa pili wa nyumba ya jirani kuna mtu kaenda buguruni kuchukua document ofisi ya KAFU anafika mlangoni anateleza anaanguka, kumbe kuna anayelala pale analinda meza ili nshindani wake asizichukue ila kasukutulia pale

Mara gafla dah kucheki kwa pembeni naona vijana wanaendelea kuwachora,

Wakati hayo yanaendelea Mara tunasikia kuna uvamizi wa mmoja wa wawakilishi uko Kati kati ya mji,

Wakati hayo yanaendelea main actor anamwambia mwekezaji

Sizitaki pesa zako zinanuka

Simbachawene missing in action

Itaendelea.........
 
Hahahaha watu mmeshachizi ,ila ni ugumu wa maisha haha dah, kwahiyo lubuva ni lufufu mkandara?
 
Mdogo utachizi kisa maisha ,

Ila ukimaliza weka na episode mashinji ,slaa, mnyika na Ben Saa nane missing in action
 
Watu wengine mnalazimisha Nissan patrol nyeupe ziwafuate mnaanza kulalamika huyu mkuu hajaribiwi heee
 
Mdogo utachizi kisa maisha ,

Ila ukimaliza weka na episode mashinji ,slaa, mnyika na Ben Saa nane missing in action
Ya mashinji au CHADEMA missing in action waanzie kwa Chacha wangwe waje kwa zitto waje kwa mawazo wote hao wanamiss in action
 
Kuna movie moja imechezwa ya kisiasa,

Picha kali linaanza lubuva analitafsri lukoma amambaijo,

Actors
1.J P M main character
2. S S actress
3. K M actor
4.J N actor
5. Na Baraza la mawaziri

Uwanja wa mapambano ni J M T

Mapambano yanaanza mkuu anatoroka kwenye jumba jeupe anachungulia kulia na kushoto anaona hakuna anayemuona , anachukua mfagio anaibukia pale wanapovua samaki , anapiga nao story kidogo, Mara gafla wanakuja wale wasiojulikana ambao hawatajulikana kamwe kwa code zao, wanamwambia mkuu hapa si salama maliza usafi twende,

Usiku Yule alocheza episode ya 4 anapenda sana kukuna kichwani anampigia simu na kumueleza kwamba inakuwaje mzazi nakutimbia soon , main character anasema kesho nitakuwa na ziara ya kuwashtukiza pale wanaposhusha ma container niwakague,

Hayaaa sasaaa asubuhi zengwe kingine linaanza laziwa wakaguliwe wote walioficha sukari uku kukiwa na tishio la kubadili hela maana watu wameficha ndani

Uku zenjiberi kuna mmoja wa wana kungfuu ye yupo kwenye ndege anaomba kijiji Fulani wamsaidie kukalia kiota chake,

Uku upande wa pili actor nauye anaanza kuzingua anasema hatuonesha live bunge kabla hajamaliza ilo anajitokeza jamaa mmoja hivi wamepewa mamlaka ya kuongoza jiji kubwa, wanaanza kuzingua, wanaanza kuliana timing Kati ya nape na yeye, baadae inagundulika ugomvi ni kwa aliyerekodi huu mkanda, ikabid atengenezewe zengwe

Nape missing in action kanda inaganda kidogo,

Huku mpela mpela nikiendelea watu wanaanza kujiuliza kuwa kuna nini mbona hatuelewi, main actor akasema sipangiwi cha kusema

Mara kuna mtu anaforwad mkanda tunaona AKASYA wamekuja kutarihi wanalala pale hotel nzuri na wakimaliza wanalipa hela ya hoteli alafu watu wameshangilia kuwa ni malipo ya mchanga mweupe,

Movie linaendelea picha tamu sana reprofeseri anaamua kumwaga manyanga movei inaganda kidogo Muhongo missing in action

Movie tamu sana aisee sasa upande wa pili wa nyumba ya jirani kuna mtu kaenda buguruni kuchukua document ofisi ya KAFU anafika mlangoni anateleza anaanguka, kumbe kuna anayelala pale analinda meza ili nshindani wake asizichukue ila kasukutulia pale

Mara gafla dah kucheki kwa pembeni naona vijana wanaendelea kuwachora,

Wakati hayo yanaendelea Mara tunasikia kuna uvamizi wa mmoja wa wawakilishi uko Kati kati ya mji,

Wakati hayo yanaendelea main actor anamwambia mwekezaji

Sizitaki pesa zako zinanuka

Simbachawene missing in action

Itaendelea.........
Duh.. Hili movie kwa kweli halina script kwahiyo gumu kueleweka. Habari mchanganyiko kama kachumbari.
 
Yaani, baada ya kusoma wachezaji wa movie nikaingia aya iliyofuatia imebidi nicheke kisha niandike comment hii .

Nissan Nyeupe , imeondoka muda huu ilipokuwa imeegeshwa, naomba ipitie kwako mkuu Mimi sijasoma huu Uzi wako.

Haa ha ha ha ha ha ha teeeh teeeeh teeeh.
 
Hahahaha
 
Back
Top Bottom