Waacheni wahandisi wale nchi, hivi wale waliokwiba mabilioni mboni mpo nao hadi bungeni na hamuwafanyi chochote? Yaani watu kula honoraria ya ka-tumiloni 40 tu imekuwa nongwa?
Hivi mnajua TANROADS inafanyaje kazi kimuundo na kimaslahi inatakiwa wajiendesheje au mnabwata ? TANROADS ni agency period. Kama hamjui jambo ni vyema mkauliza kwanza.
Unajua kama vile kama vile zile skendo za EPA..wengine wana EPA ndogo ndogo na wengine epa zao ni kubwa kubwa
Of course hii ni kama asymetrical war...tunapiga vita UFISADI wa SPIKA SAMUEL SITTA, wengine wamelekeza makombora MEREMETA, wengine WIZARA YA ARDHI na wengine wamelekeza TRA na bila kusahau BANDARI YETU YA DAR
HII NI KIBOKO!hata la kusema sinaloUnajua kama vile kama vile zile skendo za EPA..wengine wana EPA ndogo ndogo na wengine epa zao ni kubwa kubwa
Of course hii ni kama asymetrical war...tunapiga vita UFISADI wa SPIKA SAMUEL SITTA, wengine wamelekeza makombora MEREMETA, wengine WIZARA YA ARDHI na wengine wamelekeza TRA na bila kusahau BANDARI YETU YA DAR
Lakini hii ya TANROADS inatisha maana yule bosi pale (bwana MREMA) nakumbuka mwanzoni mwa mwaka alitumia almost menejimenti yake nzima kisha akaweka matangazo ya nafasi za kazi kwenye daily news...zilikuwa kurasa 3 mfululizo sasa leo nashangaa kuona haya:
anywa najua si kila mtu ana interest ya kusoma article nzima lakini dondoo ni hivi:
-Cost za kutengeneza kilomita moja ya barabara ya lami acording to TANROADS zimeruka na kufikia 1.9 billion yaani 1.46million dollars.
-Wakati huo huo cost of construction of one kilometre of tarmac road in countries like Kenya and Zambia ranges from $500,000 to $600,000.
pale BANDARINI
Bwana Mporogomyi aliomba apewe ufafanuzi mwaka jana akaambiwa subiri na sasa mwaka mzima ushapita nahakuna aliyeweka ufafanuzi kuhusu hizi gharama si KAWAMBWA na WIZARA yake wala si TANROADS wenyewe...sasa cha kujiuliza hapa whats so difficult kwenye hili? si kiasi cha kwenda kwenye huo michanganua yao kwenye computer na kuweka wazi kwa nini tunatumia 1.5 million dollars kunjenga barabara ya lami wakati wenzetu wanatumia dola laki 5 tuu?
Unajua hawa watu saa zingine ovyo sana na wenyewe wana invite flies un necessarily kwa sababu wangekuwa o[pen haya yote yasingetokea
Anyway...
Hapa kuna taarifa kuwa hata huyo mrema Mwenyewe analipwa mapesa mengi bila sababu na ilihali HANA hizo qualifications za kufanya kazi hiyo na mbaya zaidi hakuwepo kwenye short list of eligible candidates!!
Mbaya zaidi wakati bara bara zetu hazipitiki lakini Ephraim Mrema analipwa marupu rupu kuliko hata ma EXPATRIATES wanaofanyakazi Tanzania!
Ohh kwa msio jua ni kuwa bwana Mrema anachukua pesa zifuatazo:
BASI SALARY KWA MWEZI: $8,500
HOUSE ALLOWANCE KWA MWEZI: $2,200
PENSION KWA MWEZI: $850
TRAVEL ALLOWANCE: $500
MEDICAL COVER KWA MWEZI: $400
ANNUAL PERFORMANCE BONUSES $102,000
ANNUAL LEAVE PAYMENT $3,000
GOLDEN HANDSHAKE AKIMALIZA CONTRACT: $10,000
COMMENCEMENT au START UP ALLOWANCE: $ 9,000
By the way Ma ENGINEERS ambao waliachwa na kuchukuliwa unqualifies Mrema ni akina BONIFACE NYITI,VENANCE NDYAKUMANA na mtu mwingine kwa jina la CHACHA na icing on the cake ni kuwa bwana Mrema ana BSc in Construction Economics and MSc in Project Management na kabla ya hapo alikuwa procurement consultant kule Unguja
Na si hivyo tuuu kumbe ile fukuza na kuweka matangazo ya kazi kwenye kurasa tatu za DAILY NEWS ilikuwa ni kuondoa kiwingi cha watu aliokuwa akiwaona maadui zake na kwa kukata mzizi wa fitna aliamua kibabe babe kuanzisha ONE YEAR CONTRACTS!!!
UFISADI wa Bwana Mrema no pamoja na yeye binafsi kuwa mstari wa mbewe kweneye ma dili ya rushwa kama vile kumngoa ofisa pale kwenye mizani Kibaha baada ya yule afisa kuimpound ma truck yaliyozodi tani 70
anyway zaidi muulizeni huyo bwana Kilonsi Mporogmyi kwa mnaotaka mijidataz zaidi
http://www.ippmedia.com/
ANNUAL PERFORMANCE BONUSES $102,000
Kuhusu hayo malipo Mrema hana kosa kwani hakujipangia mwenyewe, package ipo kwa yeyote atakayeshika nafasi hiyo. Swali ni kwanini nchi maskini inakuwa na mishahara na marupurupu ya kuua namna hiyo? duh! sina hamu na Tz.
Nziku hapo ndipo watu wanakosea; wanaangalia malipo ya Spika, Maximo, Mrema, mkuu wa TRA n.k na kusema kwanini tunaweza kuwalipa hawa hivi vyote wakati sisi ni maskini? - the answer is wao wanajua kuwa sisi si maskini!
Malipo kwa mtaalam mgeni tunayemhitaji na ambaye hatuna hapa kwetu na malipo kwa mtaalam mwananchi hayawezi kufanana, hasa kwa kua sisi bado masikini.Nakumbuka wakati anaajiriwa maswali yalikuwa hayahaya, sasa yanarudi tena nahisi haya ni majungu, Am ready to be proved wrong kwa kujibiwa maswali haya.
1.Mabosi wa tanroads waliotangulia walikuwa wanalipwaje? (Walikuwa wageni)
2.Vipi tuone mtanzania mwenzetu kulipwa vizuri ni kosa? Si sisi wote tuna hasira kwa sababu mishahara yetu haikidhi mahitaji yetu?
3.Majina ya waliotajwa ni kweli walikuwa wanaitaka nafasi, wangepata je mambo haya yangekuwepo?
4. Tupeni mapungufu yake katika utekelezaji ili tupime kama malipo yanalingana na deliverables zake au la.
Kama tutafikia mahali pa kumhukumu kila mmoja tukitokea kwenye kona ya maslahi binafsi, naamini hatutashinda vita hii ya mafisadi. Ni vizuri tusimame vyema katika haki na ukweli. ( HUU NI USHAURI WA BURE)
Malipo kwa mtaalam mgeni tunayemhitaji na ambaye hatuna hapa kwetu na malipo kwa mtaalam mwananchi hayawezi kufanana, hasa kwa kua sisi bado masikini.
Malipo KWA MREMA ya USD102,000 ni batili hata kama anafanya kazi sawa sawa ama bora zaidi ya mgeni aliyekuwepo. Mgeni alilipwa hivyo kwa kua hatukua na namna. Utashangaa Mrema kasoma kwa scholarships za umma nk.
sababu ya kusema hivyo?
Annual bonus ya dola laki moja na alfu mbili? Please! Most likely ni typo hiyo, na kiasi sahihi ni dola 10,200