Ephraim Kibonde umetudharau wasomi. Pima kauli zako na ufanye maamuzi.

jambo1

JF-Expert Member
Jul 5, 2009
241
29
Kufuatia Maandamano yaliyofanywa na wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wiki hii ya kudai nyongeza ya pesa ya kujikimu kutoka Sh.5000/= hadi Sh.10000/=. Kumekuwa na kauli mbalimbali toka kwa wadau mbalimbali, lakini Mtangazaji wa Clouds FM Ephraim Kibonde amewadharau na kuwatukana wasomi kwa kiasi kikubwa. Amesema eti wanafunzi wanadai pesa kwa ajili ya anasa ya kwendea Disko, Milmani city na kununua vitu vya anasa.

Kama matangazaji mtu mzima mwenye ufahamu hakupaswa kuwa na kauli za kipuuzi kama hizi wakati watu wako kwenye madai ya msingi. Kauli hii si ya kiungwana naamini imewachukiza kwa kiasi kikubwa wanazuoni.

Hivyo Kibonde anapaswa kuwaomba radhi wasomi na pia achunge sana kauli zake za kudharau madai ya watu au mambo ya msingi kwani si mara ya kwanza kwa Kibonde kuwa na Kauli za ajabu, matusi na dharau katika mambo ya msingi.
 
Kufuatia Maandamano yaliyofanywa na wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wiki hii ya kudai nyongeza ya pesa ya kujikimu kutoka Sh.5000/= hadi Sh.10000/=..,kumekuwa na kauli mbalimbalitoka kwa wadau mbalimbali..lakini Mtangazaji wa Clouds FM Ephraim Kibonde amewadharau na kuwatukana wasomi kwa kiasi kikubwa..amesema eti wanafunzi wanadai pesa kwa ajili ya anasa ya kwendea Disko,Milmani city na kununua vitu vya anasa.
Kama matangazaji mtu mzima mwenye ufahamu hakupaswa kuwa na kauli za kipuuzi kama hizi wakati watu wako kwenye madai ya msingi..Kauli hii si ya kiungwana nam imewachukiza kwa kiasi kikubwa wanazuoni.
Hivyo Kibonde anapaswa kuwaomba radhi wasomi na pia achunge sana kauli zake za kudharau madai ya watu au mammbo ya msingi kwani si mara ya kwanza kwa Kibonde kuwa na Kauli za ajabu,matusi na dharau katika mambo ya msingi..!
Huyu kibonde namsikia.... hivi kweli kichwa chake kiko sawasawa.... si ndio huyu alojiingiza kichwakicha sakata la dowans akisema ni upuuzi kupinga malipo lakini rais wake akaja na kauli tofauti akakaa kimya!!! Sasa leo kaja tena na kauli tata..... huyu jamaa ni mpumbavu anaependa kudandia mambo asiyoyajua.... lazima kichwa chake hakiko sawa:twitch:!!!!
 
Hata hawa wanafunzi wa siku hizi bure kabisa, yaani hawawezi kugoma kushinikiza waziri wa maji ama wa nishati ajiuzulu kwa kushindwa kazi, ama Pinda kwa kushindwa kuwa aggressive kwa masuala kama elimu,foleni na uchafu mijini wao ni MKOPO TUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
 
Joseph Kusaga... morons watakuharibia biashara yako... haya we endelea
 
najua umeanzisha thread hii una maana gani

inawezekana wewe ndo mhusika

put hell kibonde in the dustbin

mtu akiadhirika anachanganyikiwa hata kichwani subri ataanza kuokota makopo:A S thumbs_down:
 
Huyu jamaa ni mtu ambae kufahamika kwake anakutumia vibaya. Mara nyingi amekuwa akitumia redio kwa ajili ya kuexpress fikra zake binafsi na kusahau kwmba pale ktk kipindi ni muda unaotumika kwa manufaa ya kibiashara pia. Amekuwa akiegemea zaidi chama fulan na kuleta mtazamo hasi kwamba yawezekana redio hiyo ina mlengo wa chama tawala wakati co hivo. Uongozi wa Clouds untakiwa kuwa makini kwa kuwa anaweza haribu bishara ya redio hii maarufu ambayo iliteka vijana wengi kuliko redio yoyote nchini.
 
yani watu ambao ni empty headed utasikia hata majina yao tu,eti kibonde ooh makamba mara kiwete ,ona sasa kikwete ,yani hawa wana iq ya mbu
 
Hata hawa wanafunzi wa siku hizi bure kabisa, yaani hawawezi kugoma kushinikiza waziri wa maji ama wa nishati ajiuzulu kwa kushindwa kazi, ama Pinda kwa kushindwa kuwa aggressive kwa masuala kama elimu,foleni na uchafu mijini wao ni MKOPO TUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
Lazima uatkuwa na akili kama za Kibonde...!
I think na wewe unajisikia raha sana kuona wanafunzi wa vyuo vikuu wakipata shida ...!Poa...kitaeleweka tuu...!
 
Huyu jamaa ni mtu ambae kufahamika kwake anakutumia vibaya. Mara nyingi amekuwa akitumia redio kwa ajili ya kuexpress fikra zake binafsi na kusahau kwmba pale ktk kipindi ni muda unaotumika kwa manufaa ya kibiashara pia. Amekuwa akiegemea zaidi chama fulan na kuleta mtazamo hasi kwamba yawezekana redio hiyo ina mlengo wa chama tawala wakati co hivo. Uongozi wa Clouds untakiwa kuwa makini kwa kuwa anaweza haribu bishara ya redio hii maarufu ambayo iliteka vijana wengi kuliko redio yoyote nchini.
Anakaa mitaa ya Ubungo External..na kuna taarifa kuwa kachafua hali ya hewa huko Mlimani na Hostel za Mabibo..muda huu wadau wa Mabibo wanavuka barabara kuelekea nyumbani kwake..!
 
Huyu kibonde nadhani anautafuta ukuu wa wilaya kwa nguvu. Maana cyo mara ya kwanza kutoa kauli za kejeli kwenye mambo ya msingi. Anaropoka kama makamba, kweli kibonde na meno yake yale ya nje anadiriki kuongea uchoro namna ile? Huyu ni wa kuwajibishwa kiaina, maana wa2 wasio jitambua inabidi wawajibishwe ili wajielewe.
 
Nashauri (I hope TUKI watalizingatia ombi langu) Kibonde liingizwe kwenye kamusi ya Kiswahili likimaanisha : Kilaza, Punguani, Mjinga, Kasuku nk....kama ilivokua 'kihiyo'....
 
najua umeanzisha thread hii una maana gani

inawezekana wewe ndo mhusika

put hell kibonde in the dustbin

mtu akiadhirika anachanganyikiwa hata kichwani subri ataanza kuokota makopo:A S thumbs_down:
Una maana gani..?Sijaklusoma..au na wewe ndo una akili kama za kibonde...:msela:
 
Madai ya wanafunzi ni sawa, ila sina kumbukumbu kama hawa wasomi wa vyuo vikuu wamewahi andamana kudai kitu ambacho ni cha manufaa kwa jamii nzima, naomba kukumbushwa tafadhali.
 
Back
Top Bottom