Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,285
@Chapa Nalo, mimi ni denti wa Chuo cha Taifa na muathirika wa yale ya juzi. Moja ya ajenda za maandamano yetu yalikuwa ni kushinikiza Serikali iangalie upya suala la kulipa Sh. Bilioni 94 kwa kampuni hewa ya DOWANS. Hilo si la manufaa ya taifa mkubwa?