Ephraim kibonde kapotoka katika kunena!!!!!

crap! Mbona unaongea kama mzaramo. Sawa wewe ulipata div 1 point 7. Tumechoka na kibonde, mliyomwona wa kumzungumzia ni kibonde tu! Mbona mnampa umaharufu usio kuwa wa maana.
Bwakea naona ndugu yangu unakaribia kuwa BWEKA.Kama habari za Kibonde zinakupeleka bondeni kiasi hicho nadhani lingekuwa jambo la busara saaana kama wewe ungekuwa wa kwanza kuwaondoa wale wote wanaoijadiri mada ya Kibonde kwa kuleta mchango mpya kabisa kwenye dawati hili na si kushiriki katika hoja ya Kibonde bila kujijua kuwa nawe unashiriki kinyemela.
Hebu amka ndugu yangu.Kwa ushauri wangu finyu na ambaounaweza usiwe na maana sasa kwako ni:JITOE KATIKA MADA ZOOOTE ZINAZOMUHUSU KIBONDE KWA KULETA MCHANGO MWINGINE ENDELEVU.Hapo utakuwa na nafasi ya kuonesha kuwa unajua uliposimama na si sasa.
Msalimie nduguyo Kibonde mwenzio wa kufikiri.
Wasalaam.
 
Huyu jamaa kila siku anafuka pumba au anataka udc manake huwa anamfagilia sana Jk
 
Back
Top Bottom