too proud,too proud,I Wanna kill right now,I,I wanna kill right now.
Kila kitu we rais,utadhani rais ni wa clouds,kama rais hata kwetu rais, Kibonde anatukana watu ovyo redioni,hatari iliyo mbeleni haoni,hana akili kichwani,au anavyosambaza ngoma ovyo mtaani anadhani hatumuoni.Redio ndio chanzo cha vita nchini Rwanda,
Kwa kifupi mnayoongea hakuna mtu anapenda. Tunajua mnajipendekeza kuwa chombo cha propaganda.
Na ndio tatizo la ushoga,redio imejaa mashoga,watangazaji wanaliwa kama mboga,na mkizidi kunikata nitawataja bila uoga.
Ninapokuwa na kitu moyoni huwa sifichi,Ruge bonge la snitch, anaanzisha chama wakati yeye ndio chanzo cha muziki wetu kukwama,bila wezi kama yeye tusingehitaji hata chama.
I LIKE SUGU.