Ephrahim kibonde nenda BBC sasa

Ephrahim kibonde nenda BBC sasa

Kibonde tayari ni muathirika wa ukimwi hivyo hawezi kuruhusiwa kufanya kazi huko....yule ni maiti inayoongea tu....
Mdomowangu umebaki wazi kabisa....[emoji47] [emoji47] [emoji47]
 
WADAU SASA NAONA UMEFIKA WAKATI WA MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI BWANA EPHRAHIM KIBONDE AKAENDA KUTANGAZA NA KUENDELEZA KIPAJI CHAKE KATIKA VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA KAMA VILE BBC na DEUTSCHE WELLE. NASHAURI HIVYO KWASABABU AMESHAKUWA MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI NA NI VIZURI AKAFUATA NYAYO ZA WATANGAZAJI WALIOPATA KUWA MAARUFU NCHINI KAMA VILE CHARLES HILARY, ABUBAKARI LIONGO, FLORA NDUCHA NA WENGINE AMBAO WAPO KWENYE VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA. NAONA HUYU JAMAA KIWANGO CHAKE SIO CHA KUISHIA HAPO HALIPO. MNAONAJE WADAU?
Atakusikia kweli mkuu kwa Sasa maana Jana usiku Kafiwa na kipenzi chake Sarah....RIP kwake[emoji20] [emoji20] [emoji120] [emoji120]
 
Kibonde alikuwa akitangaza mpira pale supersport naweka ile chanel ingine ya lugha nyingine ..huwezi tangaza mpira mpira kama unatangaza harusi... nimeshukuru hizi mechi za mwisho simsikii tena
 
WADAU SASA NAONA UMEFIKA WAKATI WA MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI BWANA EPHRAHIM KIBONDE AKAENDA KUTANGAZA NA KUENDELEZA KIPAJI CHAKE KATIKA VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA KAMA VILE BBC na DEUTSCHE WELLE. NASHAURI HIVYO KWASABABU AMESHAKUWA MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI NA NI VIZURI AKAFUATA NYAYO ZA WATANGAZAJI WALIOPATA KUWA MAARUFU NCHINI KAMA VILE CHARLES HILARY, ABUBAKARI LIONGO, FLORA NDUCHA NA WENGINE AMBAO WAPO KWENYE VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA. NAONA HUYU JAMAA KIWANGO CHAKE SIO CHA KUISHIA HAPO HALIPO. MNAONAJE WADAU?

Foolish, watu wanaongelea sensible things wewe unaleta mambo ya kitaahira
 
Ah hii haikubaliki badala ya kuandika kitu ambacho jamii ikanufaika mnaanza kujadili mtu sasa hapa tunafaidika kitu gani, si lazima kila siku uweke mada siku nyingine uwe unachangia za mwenzio, ukizoea kusema watu ipo siku utatuletea habari ya mkeo /mumeo tuijadili
ni wewe Sarah? Pumzika kwa amani usingizi wa kibonde
 
Duh !
Mleta mada ameshambuliwa kama Agentina Vs Croatia.
hahaha mtoa mada Mawazo yake yamechacha...kibonde huyu huyu "" mwehu "" ambaye anatamka maneno ya matusi matusi "" na kuhamasisha ulevi na ngono kwenye kipindi chao cha JAHAZI ""... ndiye ambaye anamtaka aende BBC ""...
 
Tuelze huyu Ephraim Kibonde anasifa gani zinazomfaa aende BBC? Huyu Ephraim Kibonde ukisikilza sana mazungmzo yake na michango yake mini imekuwa ni logic less sasa sijui kama BBC kuna nafsi ya watangazi uchwara kama Kibonde, labda aende kutangaza radio uhuru ndio saizi yake!
Kwani wanaotangaza BBC wanasifa gani mkuu ambazo Kibonde hana.
 
Nimeamini watanzania tunatunza vitu mioyoni, hii inanipa somo nisijitie ukiburi na majivuno kwa sasa maana kesho yangu siijui. Thanks Jf for a good lesson.
 
Back
Top Bottom