Mantuntunu
Senior Member
- Nov 1, 2010
- 137
- 16
I stopped listening Clds radio long time ago bcos of him, am now with ea radio , the ea guys talk sense.
Unaweza kuthibitisha hayaKibonde tayari ni muathirika wa ukimwi hivyo hawezi kuruhusiwa kufanya kazi huko....yule ni maiti inayoongea tu....
WADAU SASA NAONA UMEFIKA WAKATI WA MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI BWANA EPHRAHIM KIBONDE AKAENDA KUTANGAZA NA KUENDELEZA KIPAJI CHAKE KATIKA VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA KAMA VILE BBC na DEUTSCHE WELLE. NASHAURI HIVYO KWASABABU AMESHAKUWA MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI NA NI VIZURI AKAFUATA NYAYO ZA WATANGAZAJI WALIOPATA KUWA MAARUFU NCHINI KAMA VILE CHARLES HILARY, ABUBAKARI LIONGO, FLORA NDUCHA NA WENGINE AMBAO WAPO KWENYE VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA. NAONA HUYU JAMAA KIWANGO CHAKE SIO CHA KUISHIA HAPO HALIPO. MNAONAJE WADAU?
this is stigma & discrimination plz stop it. Hiv/aids begins with you!kibonde tayari ni muathirika wa ukimwi hivyo hawezi kuruhusiwa kufanya kazi huko....yule ni maiti inayoongea tu....
Ya kweli haya au Ni Tetes??Kibonde tayari ni muathirika wa ukimwi hivyo hawezi kuruhusiwa kufanya kazi huko....yule ni maiti inayoongea tu....
Sorry Bro!BBC hatuchukuagi Makanjanja!AsanteWADAU SASA NAONA UMEFIKA WAKATI WA MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI BWANA EPHRAHIM KIBONDE AKAENDA KUTANGAZA NA KUENDELEZA KIPAJI CHAKE KATIKA VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA KAMA VILE BBC na DEUTSCHE WELLE. NASHAURI HIVYO KWASABABU AMESHAKUWA MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI NA NI VIZURI AKAFUATA NYAYO ZA WATANGAZAJI WALIOPATA KUWA MAARUFU NCHINI KAMA VILE CHARLES HILARY, ABUBAKARI LIONGO, FLORA NDUCHA NA WENGINE AMBAO WAPO KWENYE VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA. NAONA HUYU JAMAA KIWANGO CHAKE SIO CHA KUISHIA HAPO HALIPO. MNAONAJE WADAU?
Naona sasa shuzi ndio limepata mjambajiIli akawape wazungu Magonjwa yake??