Enzi zile za Mwalimu

[emoji23][emoji23] wewe mtafiti bingwa, hizi iPhone zinatia aibu watu
 
Pengine ndio alikuwa bibi yako huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wapi ntapata hili shati?,la kibabe sana.Alafu nimegundua enzi hizo matipwatipwa na wenye vitambi hawakuwa wengi kama skuiz,katika hizo picha sjaona kitambi hata kimoja

Kitambi kitoke wapi chakula chenyewe kukipata ilikuwa kwa foleni na resheni (ration).
 
Hivi hizi picha mnazitoa wapi!? Ha ha ha ha!!
 
Miaka hamsini baadae watakaokuwepo wakiangalia picha yako watakukona mshamba.
Mhuu labda kama watakuwa wanatembea uchi. Manake sasa hivi tu kwa kizazi cha watoto kwa kiasi kikubwa kwenye mavazi mwanamke na mwanaume hawatofautiani. Na wengine wanavalia suruali karibia na kagotini.
 
[emoji23][emoji23] wewe mtafiti bingwa, hizi iPhone zinatia aibu watu
Mie ni observer mzuri,alafu sio mtumwa wa fashoon,ila fashoon nazijua vyema za toka enzi hizo.and am a retro man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…