ENZI ZILE (Tukumbushane) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ENZI ZILE (Tukumbushane)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by funzadume, May 12, 2010.

 1. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,430
  Likes Received: 2,009
  Trophy Points: 280
  Leo nimekaa najikumbusha mambo ya zamani, enzi za Mwl nakumbuka kuna demu mmoja nilikuwa namvizia sasa tekinolojia ya kumtoa kwao kama simu ilikuwa hamna na mimi nilikuwa nakaribia kufungua shule kwa hiyo nikawa napita pita kwao ili hata nimuone nimwombe anuani yake ili nijieleze kwa barua (domo zege enzi hizo):smile-big:

  sasa nikawa najipitisha pale karibu siku tatu lakini wapi sikubahatika kukutana nae, sasa kuna siku nikaamua kumtuma mtoto mdogo akaniitie, yule dogo si akaenda kumwambia mbele ya wazazi wake, wazazi wakamuuliza yuko wapi akasema sehemu niliyojibanza kichochoroni basi wazazi wote wawili wakatoka kuja pale nilipo baada ya kuwaona nilitoka mkuku kama mwizi jioni wakaja home kumweleza mdingi. Mdingi akaniwakia akanionya nikirudia hanipi tena hela ya matumizi shuleni (boarding)

  hebu tukumbushane vimikasa vya enzi za Mwl kama kuandika barua ya kurasa tatu, kusafiri usiku kwenda shule n.k
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Hahahaa!Mh, umenikumbusha vijarida vya dr love pimbi, enzi hizo tunavisoma darasani! Kumbe vilikuwa vya ukweli eeh!
   
 3. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyimbo za Yondo sister zikipigwa,nilikuwa nayarudi mauno vilivyo!
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  teh teh kumbe ni wewe uliyekuwa ukikimbia kwa vishindo nyuma ya nyumba yetu du! nasikia ulikatiza katikati ya michongoma du tih tih tih tih
   
 5. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wewe ni mwanaume au mwanamke samahani kama nimekukwaza
   
 6. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #6
  May 12, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,430
  Likes Received: 2,009
  Trophy Points: 280
  sasa kuna moja kali wakati nimemaliza darasa la saba nasubiri kuingia form one kuna jamaa mmoja alikuwa kanizidi umri kidogo yeye alikuwa na demu wake akaniambia nimsindikize ilikuwa kama saa 2 usiku, basi jamaa akamwita demu kutoka kwao tukaenda pembeni akawa anabambia kama hatua kumi mbele ya pale napomsubiri nilikuwa naona kwa mbali jamaa akawa anapiga denda huku anamchezea mashine, baadae wakaagana akarudi yule demu akarudi kwao sasa wakati tunarudi nikawa namuuliza mbunye uwa ikoje basi jamaa akaninusisha ule mkono aliokuwa anachezea mbunye ili nisikie harufu ya mbunye

  unaambiwa kwa mara ya kwanza siku ile nilienda winga (kusimamisha) mpaka nilipofika home ikabidi nikae kidogo nje mpaka mashine ilipopoa (kama nusu saa hivi) ndio nikaingia home maana kikaptula chote kilikuwa kimepelekwa mbele
   
 7. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #7
  May 12, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Nimecheka kweli.Hizi stori zako mkuu....umetoka mbali
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  May 12, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Aaah mimi nilikuwa mtu wa ndaba zile za kuchumpa. Mnazikumbuka Avia, Hi-Tech, LA Gear? Ila kuna ndaba zilikuwa zinaitwa Troop....hizi zilikuwa bab kubwa enzi hizo. Mimi nilikuwa nazo pair mbili...nilitesa nazo sana aisee. Nakumbuka nilipata mademu kwa kutumia hizi ndaba. Halafu wakati wa likizo nilikuwaga lazima ninyoe panki...si unajua shuleni mapanki yalikuwa yanakatazwa....basi mimi nilikuwaga nasubiri mwezi wa sita na wa kumi na mbili....

  Cheki Troop hiyo...

  [​IMG]
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  May 12, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hahahaha Mkuu swafi saaaaaana. Kupenda hakuanzii ukubwani kunaanzia hata ukiwa kinda. nakumbuka nikiwa darasa la pili kuna msichana tulisoma naye akiitwa MONICA. kama kawaida ya utoto ukipenda unabaki nayo tu moyoni unawaambia tu washkaji kwamba MONICA mchumba wangu, saa tukiwa class nilikuwa na mtindo wa kuandika vikaratasi vidogo halafu namwekea kwenye madaftari yake vikisomeka MONICA NAKUPENDA. kwa mtindo ule alikuwa anavikuta lkn hakujua ni nani kamdondokea. nakumbuka ilikuwa siku ya alhamis, pale shuleni ilikuwa inaitwa siku ya sanaa, kuanzia saa tisa kunakuwa na kipindi cha sanaa. kwa sie std two tulikuwa na yale madaftari yenye mistari mikubwa na midogo, sanaa yetu tuliifanya kwa kuumba herufi, yaani kuandika kwa unadhifu bila kufuta futa, siku hiyo, Mwalimu alitoka muda mrefu darasani aliporudi tukashtuka maana ndo tulikuwa tunapiga kelele.Mie km kawaida yangu nilishaandika vikaratasi kama sita hivi vyenye ujumbe wa MONICA NAKUPENDA, viwili tayari vishaenda kwa mhusika bila yeye kujua. Mwalimu aliporudi vile vikaratasi vyote nilikuwa nimeviweka pale nilipoandika MWANDIKO wangu kwenye daftari, Mwalim si akaamuru tukusanye madaftari yote ghafla, kwa vile tulikuwa tunafanya fujo tukaona tukusanye fasta ili soo iwe imekwisha, bwana wee kumbe vile vikaratasi bana vipo mle, Mwalimu wangu nilimtambua kwa jina moja tu na alikuwa wa kike, akiitwa Mwl SANGA. Daftari zikaenda, kesho yake sasa imefika kipindi cha LUGHA naona walimu watatu wanaingia darasani wameshika fimbo, wakagawa daftari za woote halafu mie nikaitwa mbele. sijui hili wala lile mwalimu akaniuliza kwa nini namtania, hata sikujua kwa nini ananiuliza vile, si akatoa vile vi karatasi akaniuliza unanitakia nini mie MONICA(Kumbe Jina la kwanza la MWL ni Monica), wewe mtoto huna adabu unamtongoza mwalimu wako DAAAAAAAH nusura nitoe haja kubwa, kwa utoto ule nikaanza kulia, mwalimu imani ikamwingia akauliza darasani nyie hamna adabu eeeenh, yule Monica wa kweli mwanafunzi si akanyosha kidole!! mwalimu hizo karatasi ananiwekea mimi kwenye mfuko wa madaftari, juzi baba kanichapa kweli sababu ya huyo, mimi sikujua ni nani kaweka. JAMANI nilikula kibano fimbo sita, HOME nako dingi alishusha fimbo kama nne hivi maana mama yangu na Mwalim mkuu walikuwa wanafahamiana. TOKA HAPOOO mkia tumboni kimyaaaaaaaaaaa kweli mkuu umenipeleka mbali sana
   
 10. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #10
  May 12, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,430
  Likes Received: 2,009
  Trophy Points: 280
  duh mshikaji wewe inaonyesha mlikuwa familia bora nakumbuka hizo raba za Avia tulikuwa tunaazimana sekondari na Punk kama za Shaba Ranks
   
 11. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #11
  May 12, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  mie ni mdada ila usirudie kuniuliza,nitamuita Gender Sensitive!
   
 12. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #12
  May 12, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,430
  Likes Received: 2,009
  Trophy Points: 280
  duh Chimunguru kweli ulianza zamani toka std 2 hiyo kali nimecheka kinoma lol.
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  May 12, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Na walinikoma enzi hizo pale Shebby Robby....mambo ya food evening...dah...kulaleki walahi...I miss those days. Halafu pale Don Bosco tulifanya sana ubishoo pale....

  Kuna kipindi nilinyoaga panki kama lile la Bobby Brown na michirizi pembeni na kibwenzi kwa mbele....basi mademu walichanganyikiwa sana. Kuna demu mmoja anaitwa Mariamu..huyu ndo alikuwaga chuma mtaani...kila mtu anamtaka. Panki langu kaa la Bobby Brown lilimpagawisha mwenyewe akajigonga na mimi sikuweka hiyana nikacheka na nyavu kaa Abeid Mziba....
   
 14. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #14
  May 12, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mkuu nazikumbuka sana hizo zama ila mie nilitesa na MOCCASSIN bana, ile kiatu ilikuwa BAB kubwa!!!!!!!! Moccassin yangu ilikuwa inajumuisha Moustache na kitai hapo mbele halafu ya brown, baba TOTOOOZ zilizimika sana tuu juu nna panki la kufa mtu kinyozi mwenyewe kwenye kioo cha kabati la chumbani. Kwenye timu ya BOLI nipo namba 8 ya shule full control wakati huo najiita Nii Lamptey wa GHANA, darasani napiga within top 5 Baba we acha tu maisha yalikuwa matamu Mnoooooooooooooooooooooooo
   
 15. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #15
  May 12, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Ha haha ha. Fab,bado unayarudi lakini?maanake ujuzi hauzeeki!
   
 16. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #16
  May 12, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Dah Mkuu nilikuwa mtundu mno wakati nipo mdogo, na hata washkaji niliokuwa nao walitisha mnooo. kaka zangu ndo usiseme walikuwa noma mtaani
   
 17. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #17
  May 12, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  :becky::becky::becky::becky::becky:

  Nikiwa nimesimama naomba wadau wa jukwaa hili kwa heshima tumpe standing ovation Mheshimiwa Chimunguru!

  Man umenifanya nilie kwa furaha yaaani keyboard imedondokewa mate na machozi!

  Man you are the best! JOKES aside napenda the hii iwe ni the funniest na nimwombe Invisible atoe recognition!

  Na naondoka na mafuraha yangu nisje nikaharibu kwa kusoma post nyingine za kuumiza
   
 18. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #18
  May 12, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,430
  Likes Received: 2,009
  Trophy Points: 280
  wakati tuko boarding enzi hizo kuna jamaa mmoja alitoa kali ya mwaka kulikuwa na ka stoo fulani hivi kilikuwa akifunguliwa sana ndani kilikuwa kichafu na mabuibui kibao, sasa huyo jamaa alikuwa ikifika usiku anaingia anajichua halafu zile shughuli anazielekeza kwenye chupa ya soda ilikuwa mle stoo sasa akafanya hivyo kama miezi miwili bila kujulikana siku moja akaumwa malaria ikampanda kichwani alikuwa kalazwa hospitali akawa anaeleza hayo yote
  Basi watu tukatoka hospitali moja kwa moja kwenye kistoo kuhakikisha alichosema, tulikuta chupa ya soda ina shughuli karibu ijae halafu inanuka mbaya na ina kama vidudu hivi vinatembea

  yaani mpaka leo uwa nikikumbuka nakosa jibu kuwa jamaa alikuwa anafanya experiment ya aina gani?
   
 19. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #19
  May 12, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hahahahahaah Mkuuu Heshima mbele nna vituko vingi sana ukisimuliwa waweza cheka mpaka ukakosa pumzi, hicho ni kimojawapo tuuu
   
 20. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #20
  May 12, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kuan binamu yangu alikuwa na ukaribu sana na binti moja jirani kwao. Binamu alikuwa Kidato cha sita wakati binyi akiwa kidato cha nne. walikuwa wanaweza kuongea mambo mengi tu kama wasomi wa wakati uleee lakini kila ikifika wazo la kumtamukia huyo binti kwamba anampenda binamu alikuwa anageuka bubu. Hata barua walizowasiliana wakiwa shule hakuwahi kugusia swala la mapenzi. Hali iliendelea hivyo hivyo term baada ya term. Lakini siku moja karibu na mwisho wa likizo binamu uzalendo ukamshinda maana ilikuwa anajiandaa kwenda JKT akajitoa muhanga, alichofanya baada ya maongezi wakati wanaagana njia panda akatoa barua mfukoni aliyokuwa ameiandaa akamsome huyo binti. Barua ilisomeka hivi" kwa wewe uliye mbele yangu mimi kwa kusema ukweli kwa dhati nakupenda sana ila nakuonea aibu............" baada ya hapo alimtupia barua na aligeuka kurudi nyumba bila kusubiri jibu. Hii mbinu ilimsaidia sana maana sasa hivi ni mke na mme. Mchapo huu waliadithia wao wenyewe kwa nyakati tofauti
   
Loading...