Sasa kutungua maembe haukuwa utundu?
Ah we huujui ule mto wenu unaotokea fire huku unapita unga ltd mpaka mbauda chini kule jamani!
Labda kama ningekua natumia mawe, mi nlikua napanda mtini.
Climb trees like a little monkey? Lol
Hahahaha. . . Kinda.
Msichana kujitegemea babu, sio nasubiri kutunguliwa tu.
Hahahaha. . . Kinda.
Msichana kujitegemea babu, sio nasubiri kutunguliwa tu.
Weee ya kuiba ni muda wa shule tu, na mimi nlikua nakaa barabarani kusubiria wenzangu.afu ukute ya wizi
mwenye mti akitokea unashuka kama king kong
Bahati yako hukuteleza kwenye mawe udondoke, dah mi nakumbuka darasa la pili niliwahi kulowa na madaftari yote yakawa chapachapa coz nilichezea kwenye mfereji wa maji mvua ilikuwa inayeshaHahahaha. . .
Upande wa pili Sinoni.
Sitaki kuamini nimewahi kuogelea pale. . .
Alafu kuna mwaka mvua ilinyesha daraja likachukuliwa, alafu nikapita kwenye mawe kuelekea upande wa pili. Niligombezwa kweli.
Mimi ningekutungulia halafu ungekuja kuyafuata nyumbani kwetu baba na mama wakiwa hawapo nyumbani
Hahahaha. . .
Alafu nikija ukishanipa naondoka.
Sikumbuki vizuri ndugu yangu Musimo, ila nyingi zilikuwa za kisukuma. hebu nikumbusheDah unakumbuka zile nyimbo mlizokuwa mnaimba wakati mnavuta kokoro?
I know. . . I was lucky.Bahati yako hukuteleza kwenye mawe udondoke, dah mi nakumbuka darasa la pili niliwahi kulowa na madaftari yote yakawa chapachapa coz nilichezea kwenye mfereji wa maji mvua ilikuwa inayesha
Ukiondoka nakusindikiza tunapita ile njia ya kipori
Ukiondoka nakusindikiza tunapita ile njia ya kipori