Enzi zenu

Enzi zenu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,114
1416361655027.jpg
 
Hapo siku ya ukaguzi Alhamisi weeeee, ukipigwa ule wimbo wa "Baba paka, alisema, twende tuka, winde panya" utaipenda..!
 
Hahahaaaaa..inhiinhiinhiinhiiiiiiii!!! Wewe shemu wewe!!!! haya tu... hizi picha zetu za miaka hio mmezichumbua wapi? Nilikua natega chambo langu mahali hii picha itanishushia credit walahi!! Naomba miss neddy asiione hii picha.
Huyo aliyejificha ni Mr Rocky anayefuatia ni Tized aliyeegemea ukuta ni mshana jr,yule anayechezea visoda jina lake limegoma kuandikika na huyu wa kike ni Honey Faith
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa..inhiinhiinhiinhiiiiiiii!!! Wewe shemu wewe!!!! haya tu... hizi picha zetu za miaka hio mmezichumbua wapi? Nilikua natega chambo langu mahali hii picha itanishushia credit walahi!! Naomba miss neddy asiione hii picha.

Hahahaaa shemeji usiogope bwana...hata yeye ukimwambia akuoneshe picha ya enzi hizo hakupi
 
hahaha nimevaa miwani ya mbao sijaona wallah
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa.. muone anajidai eti amevaa miwani ya mbao... ila haina noma najua saundi zangu hachomoki huyu!!! hahaha

Weee ulivyo na macho makati... hata mbao yanatoboa hayo.. nani asiyekujua mtaa huu.. hahahahaaa just kidding dear!!

hahahaa afu leo kimbembe hivi kasinde yu kwapi tena
 
Hahahaaaa.. yupo anajiandaa na safari ya kwenda majuu!!!! Karibu tumalizie malizie masalia ya pensheni yangu niliopewa ya uzeeni.
hahahaa afu leo kimbembe hivi kasinde yu kwapi tena
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa.. yupo anajiandaa na safari ya kwenda majuu!!!! Karibu tumalizie malizie masalia ya pensheni yangu niliopewa ya uzeeni.

naogopa bhana utafiti asije akajinyonga kwenye mti wa mchicha lol
 
Binaadam huwa wanatoka mbali sana hapo wakikua mfano wengineo hawatoshikika kwa watakavyonata na kujisikia
 
Back
Top Bottom