Enzi zenu

Enzi zenu

Hahahaa utafiti hana neno.. Kijana mwema sana na mshika dini mzuuri sana. hawezi leta shida.

Mkuu Tized naona leo tangu tumeamka unapiga story na wife wangu mpka jua linazama, sijui kuna ajenda gani inaendelea hapa...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Tized naona leo tangu tumeamka unapiga story na wife wangu mpka jua linazama, sijui kuna ajenda gani inaendelea hapa...

Hii yaweza kuwa dharura kubwa tunahitaji kikao cha haraka ili kuweka mambo sawa nimeshajichagua mwenyekiti
 
Last edited by a moderator:
Huyo aliyejificha ni [MENTION=151076]Mr Rocky anayefuatia ni Tized aliyeegemea ukuta ni mshana jr,yule anayechezea visoda jina lake limegoma kuandikika na huyu wa kike ni Honey Faith

Enzi hizo wakitoka hapo naanza kuwafundisha kujipikilisha nasikia sasa hivi ni balaa kwa mapishi
 
Last edited by a moderator:
Nasubiri utetezi wa Tized la sivyo natoa hukumu ya upande mmoja Tized popote ulipo kuna summon order ya dharura inakutaka ufike hapa

Heeeeee!!!kumekucha.Ngoja niicharge kabisaaa simu yangu isije kuishiwa charge wakati kesi inaendelea......lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom