mkuu pole sana unakosa raha moja adimu sana,wengine ndo starehe yetu hiyo ikipita mwezi bila ya kuogelea lazima tuumwe,sasa hivi ndo nimeanza kujifunza kuogelea style y butterfly nimechoka kuzionea style nyimgine
then you were not perfect i had to admit i was not good in madoido and and1 staff lakini kujua kwangu basic tu kulinifanya niwaweke nje wenye skills za ajabu i was so damn good in kuibia , firstbreak , rebound alafu nilikuwa sichoki hasa tukikaba man to man.I hated layups na coach alikuwa anajua sipendi ku dribble na left na layups. He used to make me do it on purpose.
lol
Duh pole Tized wetu, inabidi ujifunze mkuu ni mchezo mzuri sana
mkuu pole sana unakosa raha moja adimu sana,wengine ndo starehe yetu hiyo ikipita mwezi bila ya kuogelea lazima tuumwe,sasa hivi ndo nimeanza kujifunza kuogelea style y butterfly nimechoka kuzionea style nyimgine
plus ni vitambiless. usipokuwa na kifuaitakulazimu kila siku uvae swimming costume ila kikiwepo kidogo unaweza ukauzia uzia sura siku mojamoja lol!!Swimmers wana kifua na arms flani hivi yereuwiiiii. Yummy!!
I concur! faking, first break yeah but D nilikuwa siingii.then you were not perfect i had to admit i was not good in madoido and and1 staff lakini kujua kwangu basic tu kulinifanya niwaweke nje wenye skills za ajabu i was so damn good in kuibia , firstbreak , rebound alafu nilikuwa sichoki hasa tukikaba man to man.
Ngoja basi nivunje mifupa kumbe meno bado ikoo.lol
Eti eeeh? Nitaringaje?
plus ni vitambiless. usipokuwa na kifuaitakulazimu kila siku uvae swimming costume ila kikiwepo kidogo unaweza ukauzia uzia sura siku mojamoja lol!!
just for you and you only ujiko maana yake ni kutaka ufahari,kujikweza ama kujionyesha kwa watu kwamba una kitu flani au una uwezo flani zaidi ya wao in short unataka kila mtu atambue what you have kuzidi wao kutafuta prestige. na sometimes ni kinyume na hali halisi iliyopoSio ushua best. ze language sometime full kuniyeyusha.
Wakuu asante sana.
Sina hamu ndugu yangu... nikikumbuka yule Mtoa roho alivyoninywesha maji mengi ivo tena kinguvu bila idhini yangu.. Hamu inakatika kabisa.
Kaka ungeenda baharini ni rahisi kuliko unavofkiria
mi nilikuwa naringia spidi tu na uwezo wa kuruka lol!!!I concur! faking, first break yeah but D nilikuwa siingii.
Its easier for you with your height but penetration pale inataka ubavu. lols
duh maneno tu yanakuhadaa na kukuchanganya vipi ukienda swimming kwenyewe lol!!!Dude its morning bado, stop taking my mind elsewhere.
Si unaona na Tized anakonipeleka?
Ishieni hapo, subirini kiza. hahahaaha
just for you and you only ujiko maana yake ni kutaka ufahari,kujikweza ama kujionyesha kwa watu kwamba una kitu flani au una uwezo flani zaidi ya wao in short unataka kila mtu atambue what you have kuzidi wao kutafuta prestige. na sometimes ni kinyume na hali halisi iliyopo
duh sijacheza bball sasa hivi nina kama mwaka wa nne.Am so jealous. Siku una tournament nishtue nije niwatch.
Huku kuna team ya Basketball players. Kama vipi lets arrange a match.
then you were not perfect i had to admit i was not good in madoido and and1 staff lakini kujua kwangu basic tu kulinifanya niwaweke nje wenye skills za ajabu i was so damn good in kuibia , firstbreak , rebound alafu nilikuwa sichoki hasa tukikaba man to man.