Enzi zangu mie Karucee



Michezo mingine nimecheza ni Vollyball, handball na mambo ya self-defense! Yani Karate! Tena ktk Hii karate mpk Leo nanyoosha viungo!
 
Last edited by a moderator:
Michezo mingine nimecheza ni Vollyball, handball na mambo ya self-defense! Yani Karate! Tena ktk Hii karate mpk Leo nanyoosha viungo!
Damn. How nice rafiki.

I wish nlijua karate.

Ningenunua ugomvi daily!!
 
Damn. How nice rafiki.

I wish nlijua karate.

Ningenunua ugomvi daily!!


Kununua ugomvi sio vzr Karucee

Hiyo inakusaidia tu wewe mwenyewe na pia ni kuishi vzr na kuhusuana vzr mtaani na watu! Lkn ni mchezo mzuri sn unakufanya unakua mwepesi sn na mkakamavu!
 
Last edited by a moderator:
Kununua ugomvi sio vzr Karucee

Hiyo inakusaidia tu wewe mwenyewe na pia ni kuishi vzr na kuhusuana vzr mtaani na watu! Lkn ni mchezo mzuri sn unakufanya unakua mwepesi sn na mkakamavu!
Sometimes tukiendaga out sisi wa dada tunaonewa. Some ------ just pinch your ass from nowhere. Hao ndo ningeanza nao.
 
Nimekupita na Futi moja kamili. Wooo... looking down to your eyes and lps gives extra motivation
Buddy, 6 1/2? wow!! You really are tall.

Am 5''2.

Did you play as a center or forward?
 
Hapo uko vizuri Kiongozi. Mimi ni mshabiki mkubwa sana wa karate. Tupange mechi tukumbushie hunhaaa kidogo
Michezo mingine nimecheza ni Vollyball, handball na mambo ya self-defense! Yani Karate! Tena ktk Hii karate mpk Leo nanyoosha viungo!
 
Ahaaaaaaaa.. yeah ni majukumu mazito sana. lakini angalao uwe unaruka hata kamba kabla ya kuoga basi ukibanwa kabisa kwenda gym. Gym/mazoezi ni muhimu sana kwa yeyote anayetaka kuwa na AFYA bora awe ni mnene au mwembamba.
No, am not playing anytime soon hun.

I will have to get back to exercise first before I can even think of playing. Ongeza motherhood na job.lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…