Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
uTindikali
Umbea mama weee.
yatakushinda
hapa hapa kwa Ole mmoja
Kasema Ennie ila Ole kimyaaaa. So nimewapa benefit of doubt. Si nlikuambia sinaga wivu.
Hata sija black out. Ndo kwanza nakata ndimu ya kuchanganyia haka ka vodka.
Si unajua Thursday weekend tayari.
Haya na huyo umemtajia nini?
Haya na huyo umemtajia nini?
Mengine huyawezi yatakushindaaaa.
Mimi na Mndengereko dam dam.
Hautajua mwanzo wala mwisho.
Haven't played since 2010. And I doubt I still have what it takes to play.
Nalipenda jina lako kwetu wanaita "Ng'walu"
Mkuu Ntuzu unajiondoa kisailensa ivo.. hahahaha.. kiongozi OLESAIDIMU uwe na amani tu. Hata Kipenzi changu Karucee anajua hamna kitu nyuma ya pazia. Ni Ntuzu tu.
miss neddy, unalipwa shing ngapi kuvunja ndoa za watu?Hapa ulikuwa useful!!!!!