Oyoyoyoyooo! Yamekua haya! Basi naairisha mpambano!
Usihofu mkuu.. mambo madogo haya. Atakayeshinda anakula BAN so huenda nkakuachia ushindi wa mezani.
Dawa yake huyo Tized ni kumpeleka baharini tu unamuacha huko ndani ya maji
Mkuu huo Ushindi siutaki!
Hahahahaaa. Kum radhi Kiongozi....ila sasa huu ni Uonevu huu
.
Ila hamna noma. Hiki kitambi kinazidi kile la Komba wa TOT band lazima tu sitazama hata iweje. yaani na mbaluni wote huu hapa chini ya kifua nizame??? NO WAY!! nipekele ata sasa tu Mkuu ushuhudie moja ya faida ya kuwa na likitambi la haja. Hahahahaaa
Sasa nikusaidiaje ndugu yangu?
Unanitenga Kweli dada yng!
Bora tupambane nishinde kihalali ata km ban inanishukia inakua pouwa tu!