Enzi zangu mie Karucee

hahaha i can seet that mimi strength zangu ziko mikononi so mcichezo mingi inayouhusui mikono,nipo vizuri mpira nacheza namba 1 mpk leo huwa nacheza mara nyingi week end na huwa naenjoy sana hasa tukishambuliwa kuonyesha ujuzi


Teh Teh Teh

Unajua Mimi wakati Wa makuzi yng mpk huu ujana tulikua tunashindana sn Vijana ktk michezo mbali mbali! Yani tulikua tunajenga miili yetu kimazoezi kuanzi miguu etc! Yani kila kitu kwa ujumla! Na Ndio Maana ktk michezo mingi tulikua tunaweza na tulikua vzr tu! Kwasababu km mazoezi ya viungu hayo Ndio tulikua tunafanya sn! Msamba, mara Sijui ujikunje hivi Au sarakasi basi Yani ilikua mtu lazima uwe fiti! Na ktk game Au mechi tulikua tunafanya vzr sn!

Kwakweli ila kwa Dar ni kubaya kuishi! Vijana hawashiriki michezo vzr
 
Wakati naanza form One nikatoka darasani bana kwenda kukojoa kabla ya break. Washrooms ziko mbali sana na madarasa.. acha bwana mwalimu wa zamu akanidaka.. alinipigisha mwendo wa bata kutokea huko hadi ofisini kwake.. baada ya kula stiki kadhaa nikaachiwa..ndo ilikua mara ya kwanza...... then kuliko nishuke ngazi au mteremko ilikua bora nizunguke kukwepa tu maumivu ya thigh muscles.

Mwendo wa bata ................mwendo wa mamba!!!????
 
Hahaaa.. yakheee mbona wantiasha.. wajua vibaya hiiivyooo!

Its a friendly game. mshindi anapigwa BAN. Please FYI&A Invisible



Basi usining'ate Sikio km Iron Mikey!
 
Last edited by a moderator:
lols. Sweetheart ulikuwa mtundu kimya kimya.
 

Ha ha haa hiyo kama haijakukuta huwezi jua nini inafanya mkuu yaani jamaa alikuwa anatukimbiza mlimani asee mkifika sehemu moja kulikuwa na tank kubwa sana la maji hapo ndio mnapumzika sasa na hiyo pumzika ndio hiyo mwendo wa bata na mwendo wa mamba, mi push ups kibao!!!!!!
 
inategemea eneo gani mkuu. kama ni maeneoa ya kawaida sio uswahilini sana sio uzunguni sana ndo mwake
 
inategemea eneo gani mkuu. kama ni maeneoa ya kawaida sio uswahilini sana sio uzunguni sana ndo mwake



Kote tu Mkuu sio kuzuri! Hakuna viwanja vya michezo! Kwa mfano Kimara nakoishi! Koote ni makazi ya watu! Wapi utapata kiwanja cha michezo!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…