Enzi zangu mie Karucee



Ha ha ha haaaa got you son!!!!!

Piga tawi, futa, dazle, good hands!!!!!!!!

Ana fake unamtazama tu akinyaynyuka ndo patamu kwa tawi!!!!!
Kama nakuona una walk halafu ukiambiawa unabisha na kupiga ball chini kwa nguvu!!!!
 
Mimi katika football nikiona wamejipanga mstari najua ni penalty. Sijui chochote kingine. Team yangu ni Arsenal, but msimu wote sijacheki mechi hata moja. lol. Ukiskia ushabiki uchwara si ndo huu.



Pole sn
 
sure mkuu ila nahisi pia kwa playmaker akiwa anaweza kupiga 3 points anakuwa mzuri zaidi

Si unajua makers wengi kimo utata so yeye ni kufake sana madoido na swooosh hapo anakuwa kakamilika!!!!
Akiingia kwa D na kimo sio kihivo matawi na mifuto yake aweza kukunja ngumi!!!!
 
Mkuu kuogelea najua kidogo (sio mmoja wapo wa wataalamu) ila hamu ndio huwa inakuja na kukata kama umeme wa Tanesco. Basketi niliwahi tu kudunda dunda wakti niko advance ila baada ya hapo.. Mimi na soka soka na mimi na michezo mingine ya kimazoezi.
pamoja mkuu yote kheri ila jitahidi upendee kuogelea ni raha basket unaweza kupotezea ukijua mpira tu inatosha
 
Naona mnaucheza mchezo nje ya uwanja kama Mgambo walichomfanya Yanga eeh!!!

Ikibidi nitang'ata kama Tyson kama mbinu ndio hizo. Afu Sweetheart Karucee unanigeuka ivi ivi?


Utakula ban ya Mwaka mzima!
 
Last edited by a moderator:
hahaha i can seet that mimi strength zangu ziko mikononi so mcichezo mingi inayouhusui mikono,nipo vizuri mpira nacheza namba 1 mpk leo huwa nacheza mara nyingi week end na huwa naenjoy sana hasa tukishambuliwa kuonyesha ujuzi
 
Sio kwamba sijui mkuu.. ila experience yangu ya kwanza nilijidai najua nikarukia kwenye maji.. kidogo niondoke.. That experience has been haunting me nikifikiria swimming.



Pole Mkuu!
 
Maji ya pool ni machache sn! Yani huwezi kwenda mbali sn!

Kwa bahari Ndio poa! Yani unaingia ndani ya bahari mpk Maji unayaona yanakua meusi na mazito! Alafu ukiamua kuzama chini unakwenda kuibukia kule!
mhh nitakza buti hapo.
 
Naona mnaucheza mchezo nje ya uwanja kama Mgambo walichomfanya Yanga eeh!!!

Ikibidi nitang'ata kama Tyson kama mbinu ndio hizo. Afu Sweetheart Karucee unanigeuka ivi ivi?

yaani ukiskia torn between choices ndo kama hapa. Huku sweetheart wangu, huku mwalimu wangu mpendwa.
 
Ha ha ha haaaa got you son!!!!!

Piga tawi, futa, dazle, good hands!!!!!!!!

Ana fake unamtazama tu akinyaynyuka ndo patamu kwa tawi!!!!!
Kama nakuona una walk halafu ukiambiawa unabisha na kupiga ball chini kwa nguvu!!!!
hahaha kama ulikuwepo vile yaani nilikuwa nachukia sana alafu nilikuwa sijioni kama natembea bt nidhamu ilinijenga sana sikuwa napiga mpira chini nilikuwa nabaki na maumivu yangu moyoni tu na kuprromise kutofanya tena. walking
 
Last edited by a moderator:
hahaha kama ulikuwepo vile yaani nilikuwa nachukia sana alafu nilikuwa sijioni kama natembea bt nidhamu ilinijenga sana sikuwa napiga mpira chini nilikuwa nabaki na maumivu yangu moyoni tu na kuprromise kutofanya tena. walking

Yaani hiyo mkuu imetutesa wengi sana nidhamu ilikuwa ukipiga ball chini tu push ups kumi fasta!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…