englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
C and f
Hakuna hata moja hapo kwa kuwa sikuwahi kumiliki bag.
Nalog off
naweka kwenye mfuko wa Rambo au kwenye kidumu cha lita tano.Madaftari ulikua unabebaje?
Akiweka kwenye mfuko wa suruali analisokota lile daftari...Madaftari ulikua unabebaje?
Akiweka kwenye mfuko wa suruali analisokota lile daftari...