2003 nilipiga IV ya 34,sikukata tamaa nikarudia Form3,2005 nikamaliza tena alhamdulilah nikagonga IV ya 32 ambayo imeniwezesha kuajiriwa na halmashauri as MGAMBO WA JIJI
dah mkuu kumbe tupo ofisi moja ila mimi nimeajiriwa kama mfagizi wa barabara na leo nilipangiwa toka manzese mpaka kimara mwisho yani sahivi ndo namalizia..
Hahaha! Kweli we mkare wetu!
Itabidi thread ya GPA,
Wakuu nasema ukweli...nilipata THREE ya point 15,pale Tosamaganga penalt ya GS. Nikaenda Tabora boys then Udsm kabla ya kuja Mexico kuchukua MSc. in virtual liquid.
Mimi ndo natarajia kumaliza this year ndio mana sijajitaja, ntakachopata lazima nije kuutangazia umma wa wana jf, hata kama ni ubuyu!
Wewe SENATOR uongo utaacha lini kwenye post nyingine kule umesema umemaliza 2009 mara huku 2006 so which is which kijana?
Wakuu nasema ukweli...nilipata THREE ya point 15,pale Tosamaganga penalt ya GS. Nikaenda Tabora boys then Udsm kabla ya kuja Mexico kuchukua MSc. in virtual liquid.
Kumbe hapa ndani wengi wenu ni mayanki
Sisi tuliomaliza miaka ya sabini ngoja tukae kimya , endeleeni kupongezana naona one za point kazaa ndo zinatawala sijui kina nani walikuwa wanapata DIV 3 , 4 AND 0
:A S-coffee:
we kweli katotooo 2008 o-level?
word..Iliboru kupata PCM au PCB miaka yetu ilikuwa ni lazima uwe na AAA kwa PCM na atmost AAB kwa PCB
Nahisi unatudanganya, kwa maelezo yk inaonekana T/Maganga umesoma O'level.O'level kuna penati ya Math na sio GS! (Civics) Na A'level ndo kuna penati ya GS na sio Math.Sasa hy 3.15 ya penati uliipataje 4m4 ka ulifail GS (Civics nahisi ulikuwa na maana hy)?!
Rejao anakupenda sana...tatizo siku hizi yupo busy sana hata anashindwa kuja huku kukusabahi! Akipiga simu yako not reachable! But he is happy upo salama.Mie pia nimemmiss sana, ila nahisi hanipendi kama zamani manake ameondoka hajaniaga, nikimpigia simu anapokea sekretari wake eti nimwachie maagizo ya Rejao!....
Mwambie SL bado penda yeye sana, akipata huu ujumbe ampigie haraka iwezekanavyo!
Rejao anakupenda sana...tatizo siku hizi yupo busy sana hata anashindwa kuja huku kukusabahi! Akipiga simu yako not reachable! But he is happy upo salama.
2003 nilipiga IV ya 34,sikukata tamaa nikarudia Form3,2005 nikamaliza tena alhamdulilah nikagonga IV ya 32 ambayo imeniwezesha kuajiriwa na halmashauri as MGAMBO WA JIJI
Reyjaoh...lol!mmh, jamani Reyjaoh
umeanza lini haya.
kumbe kurudia kunasaidia.