Enzi zako ulipata div ngapi ? Sema ukweli

2011
Fedha boksi
wani, pointi 27 (ishirini na saba)
 
Kumbe hapa ndani wengi wenu ni mayanki
Sisi tuliomaliza miaka ya sabini ngoja tukae kimya , endeleeni kupongezana naona one za point kazaa ndo zinatawala sijui kina nani walikuwa wanapata DIV 3 , 4 AND 0
:A S-coffee:
 
O-level 2 ya 19 (St. Paul's Liuli-Mbinga).
A-level 2 ya 10 (HGL) pale Kwiro High School, Mahenge. Kwa sasa nipo namaliza kadigree kangu SAUT(MWANZA).
 

hahaha watu mna mambo
 
Kumbe huku wengine hapatufai utajikuta unatukanwa na mwanao.Zanaki 1991 div II ya 20.
 
Kila m2 one na wenye ubuyu mbona hawajitaji?
 
rejao amekumiss sana....
Mie pia nimemmiss sana, ila nahisi hanipendi kama zamani manake ameondoka hajaniaga, nikimpigia simu anapokea sekretari wake eti nimwachie maagizo ya Rejao!....


Mwambie SL bado penda yeye sana, akipata huu ujumbe ampigie haraka iwezekanavyo!
 
Kila m2 one na wenye ubuyu mbona hawajitaji?
Mimi ndo natarajia kumaliza this year ndio mana sijajitaja, ntakachopata lazima nije kuutangazia umma wa wana jf, hata kama ni ubuyu!
 
2003 nilipiga IV ya 34,sikukata tamaa nikarudia Form3,2005 nikamaliza tena alhamdulilah nikagonga IV ya 32 ambayo imeniwezesha kuajiriwa na halmashauri as MGAMBO WA JIJI
 
2003 nilipiga IV ya 34,sikukata tamaa nikarudia Form3,2005 nikamaliza tena alhamdulilah nikagonga IV ya 32 ambayo imeniwezesha kuajiriwa na halmashauri as MGAMBO WA JIJI
Hahaha! Kweli we mkare wetu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…