Yaani upate zero then uende A level kwa marks gani sasa
Au unatumia jina na cheti cha mtu hapo kusomea hiyo degree yako
Wakili mla rushwa tuu hakuna kubobea wala nini
div 3 inaanzia 22 ndugu.
Yaani upate zero then uende A level kwa marks gani sasa
Au unatumia jina na cheti cha mtu hapo kusomea hiyo degree yako
Wakili mla rushwa tuu hakuna kubobea wala nini
Mbona cjaona alyepata foo ka ya mwanaasha?
Div.2 pnt 20, mwaka 20... Pale klerruu sec ... Iringa.
III ya 17
nadhani umeelewa.
Watoto mmeamkaje leo,kumbe ndio maana thread nyng za kitoto kweli jf imeingiliwa..yaan form iv.2007 upo humu?
Dah!Mimi nimerudia mtihani wa form 4(ya awali Mwanaasha+0.05 a.k.a j.magufuli+0.02) mpaka nikitaka kukalkuleti divisheni yangu(baada ya kudunduliza) inatakiwa nitumie scientific calculator kuvimagazijuto vyeti na nikiorodhesha examination centers tutakesha hapa.
Kidato cha sita QT ya Div 2 bado kidogo niwe expendable nikatokea mlango wa nyuma mpaka Univasiti.
Hii ndo kipimo gani???
humu naona 2004,2006,2007 i see! Kweli nyie watoto wa dot.com
Nilipata 4.33 nikarudia pepa mara mbili ndo nikapata credit, A'level nilipata 3.16 nikaenda chuo nikamaliza na GPA 2.4 (gent)