hizo div. hazitoshi. ni bora mmgeeleza mko wapi kimaisha,
kkwa maana wapo wa div sifuri lakini kimaisha wanapaa si mchezo 🙂
Hilo nalo neno!
Kuna jamaa nilimaliza nae O-level alipata div 4 yeye hakuendelea A-level, lakini sasa ana miliki kampuni 3 na bangaloo kama 4 na magari kama 6.
Lakini mie nipo na house moja na kamkweche kangu pamoja na kupata div 2 yangu.
Ninachotaka kujaribu kuchangia hapa ni kuwa kufauru masomo sio kufauru maisha ingawa elimu ndio njia sahihi na rahisi kuyamudu.
hapo ulikuwa unamaanisha cambridge au cabage au carriageSi wengine tumesoma "cabrige"
Kitei cha ilboru kilinipa 1.7 O level, 1.3 A-Level, First class chuo. Kote ni 90's
43 daaaah!That's 25 yrs ago.
Na form four walikuwa walimaliza na miaka 18. Sasa jumlisha 18 na 25 unaweza ukakisia umri...:lol::lol:
Na wewe '87 ulikuwa darasa la ngapi?
43 daaaah!
Nakusalimu Gaijin!I have a right to remain silent 😛
Lol hujapatia,,,, ingawaje bado kuanza shule ila kwenye diapers big NO!!!..Nahisi kama vile wee bado ulikuwa kwenye diapers mwaka huo :lol:
Lol hujapatia,,,, ingawaje bado kuanza shule ila kwenye diapers big NO!!!..
Usiseme kumbe wewe, sema kumbe sisi ni 80s baby lol!..Kumbe wewe ni 80s baby!
Ama kweli watu tumeanza kuzeeka sasa.
Aisee nimekumiss...Mzembe nilizungusha duara nikarisiti nikazungusha tena aargh nikaona isiwe tabu nikazamia storoway nikazani linaelekea mamtoni kumbe likafunga gati somali, nikajua zali la kifahari sio langu acha nikomae kiswahili swahili tu.
Kabla ya kukwambia nimekumiss pia, naomba kujua nitonye ndo nani? Yaani leo nimeona sredi imenipa hasira za kutokupiga mswaki wiki nzima.Aisee nimekumiss...
Mzembe nilizungusha duara nikarisiti nikazungusha tena aargh nikaona isiwe tabu nikazamia storoway nikazani linaelekea mamtoni kumbe likafunga gati somali, nikajua zali la kifahari sio langu acha nikomae kiswahili swahili tu.