Granta
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 4,820
- 6,063
Poti acha hizo, hulindi vyeti vyake unalinda mkuu wa mkoaIssue ni nzito pale wenye vyeti halali wamekaa nje wanakulinda!
Poti acha hizo, hulindi vyeti vyake unalinda mkuu wa mkoaIssue ni nzito pale wenye vyeti halali wamekaa nje wanakulinda!
Bashite :Say oooooohh
Fans: ooooh
Bashite: say bashiteee
Fans: bashite.
Anaaanza kuchana.
Verse ya kwanza naanza, stone kama banza, niite Bashite pesa muhim kwanza,
Shule ya nin hapa mishen town, mpunga umesoma cheti kipo nyumbani, nimewarubuni madingi hadi raia hadi wizarani...
(Fans waaaanza kurusha makopo ) kapanda MANGE KIMAMBI..
Mange: pass microphone msom nimepandan dimbani, kiongozi gani , zero imejaaa kichwani , huo unanga wapelekee kwenu nyumbani, tumeamka usilete pigo za kizamani, xxxxxssssszz bashite Zero kichwaaniii
Fans; mangeeee mangeeee
Tena si kazi ndogo, ndio sababu mchungaji anasema kama unaishi nyumba ya vioo usipende kurusha mawe, yatakurudia! Hapo bado madem wake wa zamani hawajaja ku prove mambo mengine!RC anakazi Mitandao yote sasa ime mgeukia yeye!!
Teh teh te.....umekumbusha mbali sana aiseee........Dogo....90s ndio zilikuwa pigo hizo! Buggy jeans, shati la dogi dogi au o.p.p
Sio picha ya Makonda mnyonge mnyongeniTumhurumie jamani huyu jamaa ka Fight sana na maisha, Mara conda wa daladala na mziki pia, alipotoka huko ndo akaenda uvccm nn!
na afe tu kama alivyoua wengine kwa preshaMungu amtie nguvu rc wa taifa anapitia wakati mgum sana
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaBashite :Say oooooohh
Fans: ooooh
Bashite: say bashiteee
Fans: bashite.
Anaaanza kuchana.
Verse ya kwanza naanza, stone kama banza, niite Bashite pesa muhim kwanza,
Shule ya nin hapa mishen town, mpunga umesoma cheti kipo nyumbani, nimewarubuni madingi hadi raia hadi wizarani...
(Fans waaaanza kurusha makopo ) kapanda MANGE KIMAMBI..
Mange: pass microphone msom nimepandan dimbani, kiongozi gani , zero imejaaa kichwani , huo unanga wapelekee kwenu nyumbani, tumeamka usilete pigo za kizamani, xxxxxssssszz bashite Zero kichwaaniii
Fans; mangeeee mangeeee
kwahiyo wewe una macho ya kunguni umeona peke yako? au unamfahamu banza stone kuliko mke wake.........teh....Uongo, hiyo ni picha ya Marehemu Banzo Stone (Masanja). Acheni uongo.
Watu mmekuwa wajinga sana wa kupitiliza. Hata kama mnalipwa na hao drug dons akina Mbowe ila hamtaweza kushinda hii vita, maana Mungu yupo upande wa Makonda.
Hapa bwana Bashite straight outta Koromije akiwa anachana ma verse hatari
Eeh Mungu wa Israel,hii nchi bana kuna ma genius mtaani wamedata na msongo wa mawazo huku kuna vilaza wanaojua kujipendekeza na kufokea watu ndipo wanaonekana wachapa kazi
Freeman mbowe wanaandika Filemoni,slipway wanaandika sleepway basi tafrani tupu,
haya sasa nawaletea yule kiumbe aliyekuwa anaandikiwa documents kwa English na miss wema sepetuuuuuuuuuuuuuu
View attachment 476254
Umezaliwa mwaka gani?hizo nguo zake oversize alipewa na nani? Huyo jamaa yake pembeni kashapiga viloba kama 12 hiviii!!
kolomije muzicaHapa bwana Bashite straight outta Koromije akiwa anachana ma verse hatari