Bashite :Say oooooohh
Fans: ooooh
Bashite: say bashiteee
Fans: bashite.
Anaaanza kuchana.
Verse ya kwanza naanza, stone kama banza, niite Bashite pesa muhim kwanza,
Shule ya nin hapa mishen town, mpunga umesoma cheti kipo nyumbani, nimewarubuni madingi hadi raia hadi wizarani...
(Fans waaaanza kurusha makopo ) kapanda MANGE KIMAMBI..
Mange: pass microphone msom nimepandan dimbani, kiongozi gani , zero imejaaa kichwani , huo unanga wapelekee kwenu nyumbani, tumeamka usilete pigo za kizamani, xxxxxssssszz bashite Zero kichwaaniii [emoji86] [emoji86]
Fans; mangeeee mangeeee[emoji122] [emoji122] [emoji122]