Enzi zake Daudi Bashite akiwa msanii wa Hiphop

Si muda zitakuja picha za wodi aliyozaliwa sasa, si kwa speed hii khaa..:D :D :D
 
Bashite :Say oooooohh
Fans: ooooh
Bashite: say bashiteee
Fans: bashite.
Anaaanza kuchana.

Verse ya kwanza naanza, stone kama banza, niite Bashite pesa muhim kwanza,

Shule ya nin hapa mishen town, mpunga umesoma cheti kipo nyumbani, nimewarubuni madingi hadi raia hadi wizarani...

(Fans waaaanza kurusha makopo ) kapanda MANGE KIMAMBI..

Mange: pass microphone msom nimepandan dimbani, kiongozi gani , zero imejaaa kichwani , huo unanga wapelekee kwenu nyumbani, tumeamka usilete pigo za kizamani, xxxxxssssszz bashite Zero kichwaaniii

Fans; mangeeee mangeeee

hio mistari kiboko
 
RC anakazi Mitandao yote sasa ime mgeukia yeye!!
Tena si kazi ndogo, ndio sababu mchungaji anasema kama unaishi nyumba ya vioo usipende kurusha mawe, yatakurudia! Hapo bado madem wake wa zamani hawajaja ku prove mambo mengine!
 
Tumhurumie jamani huyu jamaa ka Fight sana na maisha, Mara conda wa daladala na mziki pia, alipotoka huko ndo akaenda uvccm nn!
 
Bashite :Say oooooohh
Fans: ooooh
Bashite: say bashiteee
Fans: bashite.
Anaaanza kuchana.

Verse ya kwanza naanza, stone kama banza, niite Bashite pesa muhim kwanza,

Shule ya nin hapa mishen town, mpunga umesoma cheti kipo nyumbani, nimewarubuni madingi hadi raia hadi wizarani...

(Fans waaaanza kurusha makopo ) kapanda MANGE KIMAMBI..

Mange: pass microphone msom nimepandan dimbani, kiongozi gani , zero imejaaa kichwani , huo unanga wapelekee kwenu nyumbani, tumeamka usilete pigo za kizamani, xxxxxssssszz bashite Zero kichwaaniii

Fans; mangeeee mangeeee
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Uongo, hiyo ni picha ya Marehemu Banzo Stone (Masanja). Acheni uongo.
Watu mmekuwa wajinga sana wa kupitiliza. Hata kama mnalipwa na hao drug dons akina Mbowe ila hamtaweza kushinda hii vita, maana Mungu yupo upande wa Makonda.
kwahiyo wewe una macho ya kunguni umeona peke yako? au unamfahamu banza stone kuliko mke wake.........teh....
 
Hapa bwana Bashite straight outta Koromije akiwa anachana ma verse hatari
Eeh Mungu wa Israel,hii nchi bana kuna ma genius mtaani wamedata na msongo wa mawazo huku kuna vilaza wanaojua kujipendekeza na kufokea watu ndipo wanaonekana wachapa kazi
Freeman mbowe wanaandika Filemoni,slipway wanaandika sleepway basi tafrani tupu,
haya sasa nawaletea yule kiumbe aliyekuwa anaandikiwa documents kwa English na miss wema sepetuuuuuuuuuuuuuu
View attachment 476254

Wajanja wa usukumani hao.
 
Mhhh, mjasiri huwa haachi asili. Labda cku moja ataanza kuchana tena mistari. Ngoja tusubir
 
Sioni ishu hapo.
Simbachawene alikua mpiga debe pale Dodoma.
Mwigulu alikua anachunga ng'ombe.
Pinda alikua mtoto wa mkulima.
Kuna picha ya mh rais akiwa amepauka amekaa na babu zake.

Ni nani ambaye amekulia magorofani mwanzo mwisho humu?
kwanini mtu anahukumiwa kwa historia yake?
 
Hapa bwana Bashite straight outta Koromije akiwa anachana ma verse hatari
Eeh Mungu wa Israel,hii nchi bana kuna ma genius mtaani wamedata na msongo wa mawazo huku kuna vilaza wanaojua kujipendekeza na kufokea watu ndipo wanaonekana wachapa kazi
Freeman mbowe wanaandika Filemoni,slipway wanaandika sleepway basi tafrani tupu,
haya sasa nawaletea yule kiumbe aliyekuwa anaandikiwa documents kwa English na miss wema sepetuuuuuuuuuuuuuu
View attachment 476254
kolomije muzica
 
Back
Top Bottom