Enzi za ujahilia, CHADEMA nilipotea

Enzi za ujahilia, CHADEMA nilipotea

chama cha ubaguzi,,,kinatumia fedha za ruzuku vibaya na hakina demokrasia wakiita cha cha kimunguuu,,,acha kufuru


Ndugu Mzito mmefikia wapi uanzishaji wa ACT?
 
Ugonjwa wako kwa sasa hauwezi kupona kwani umeshaanza kushambulia ubongo, hivyo unakaribia kuwa chizi epuka kuingia mkataba Wowote katika hali uliyonayokwani hautatambulika kisheria ...

wewe huna akili,,,,utaendelea kuwa kilaza hadi lini?>>>>>>??????
 
kweli mmeona muanze kukimbia na kumsema kiongozi wenu slaa
kweli watanzania ni wa tu wa ajabu sana wanahaha kama maji
yalioyokosa mwelekeo
 
Sitaki kuamini wewe ndiwe Njano5. Ila kama ndiwe, hakika Jalia ni zaidi ya majahilia; "kaburi" lako liwe makao ya shwaitwan na mafuasi wake; msaliti mkubwa.

kamanda huna haja ya kumtukana Njano5, ukweli ni kwamba tusiopendezwa na mwenendo wa uongozi wa chama tupo wengi na si yeye peke yake........tusio wafuasi tunatafakari kabla ya kumeza chochote kwa kuwa tu eti kimetoka kwa mbowe au slaa, wao sio malaika wanakosea tena sana tu!!!
 
DOGO mbona NCHI HII INA VYAMA VINGI SANA , ACHANA NA CDM UTAOTA KIBYONGO BILA SABABU YOYOTE , MASALIA NDIYO BASI TENA !

sawa vyama vipo vingi, ila ni vema kila kimoja kikamulikwa uchafu wote ujulikane ili kusaidia jamii kuchukua tahadhari ili kuepuka uwezekano wa kuruka mkojo na kukanyaga mav..i!!!!!!!!!!!!
 
Ujinga hauna kikomo! Huo ujinga utakuzungusha weee hadi mwisho wa nyakati
 
Sawa ni uhuru kuhama chama,karibu ATC,chama cha kujilinda na wahafidhina na kuangamiza panya wa uchagani.
 
View attachment 141374
Enzi za Ujahilia,
CHADEMA nilipotea,
Namshukuru Jalia,
Kwani ameniokoa,
Loo! sasa najutia.

Enzi za ujahilia,

Nikikumbuka nalia,
Namshukuru Jalia,
Kwa aliyonitendea,
Hakika nilipotea.

Hakika nilipotea,
Njia niliyoiendea,
Kila nikifikiria,
Moyoni najisemea,
Rasini nilitimia?

Enyi mliobakia,
Dua ninawaombea,
Mpate kuiendea,
Njia ya kujitambua,
Nchi kuitumikia,

Babu anawatumia,
Yake yana muendea,
Yenu yana didimia,
Paka wana lialia,
Jikoni wamejilalia.

Paka wana lialia,
Jikoni wamejilalia,
Nchi ingejipatia,
Nguvu nilizojitolea,
Ajabu najionea.

Ajabu najionea,
Wachache wajijengea,
Ngome za kujilindia,
Viti walivyo kalia,
Mafurushi wajilia.


Mafurushi wajilia,
Bila haya nawambia,
Tena wanasingizia,
Gharama walizingia,
Risiti wa'zi chezea.

Hayo yakiendelea,
Kasheshe ipo Songea,
katibu ajionea,
Paka walio zoea,
Jikole kulichezea.

TIMU UZALENDO.

Njano5.
0784845394.

Unaweka kabisa na namba za simu iliwakutafute upewe kamkate uzidi kuishi ? You are simply empty headed haiwezekani wewe ukawa huna maisha kila siku ni chadema tu . Get something to get your life rolling bro . Mwenzako Sixgate kesha ukwaa u 300,000 kwa siku .Kimya wewe bado upo na njaa zako JF .Anzisha Chama chako au ingia CCM shiriki siasa huko lakini kwa njaa hizi I doubt kama unaweza kuwaza bila tumbo .Pole sana .
 
Tatizoo ni kuwa umeshazeeka,hupati tena nafasi uliyokuwa unaipata ulipokuwa kijana hujapata heshima yoyote kwa sababu ya kiwango chako duni,Kafundisheni na maslia mwenzako,mwenzio anaenda kufundisha chuo ila kilaza kama wewe kafie shule za sinti kayumba huko.
 
Hujui chama cha prezooo na maslia mwenzio mpaka sasa? You must be kidding!
ACT=Alliance Charter for Traitors like you au ATC=Alliance for Traitors and Charity.Kipi kinakufaa?
 
sio vibaya ukikiri na ujumbe wake 'umekuingia' vizuri pamoja na kwamba haumpendi mleta thread.....................

Ujumbe gani, sana sana yeye mleta ujumbe ndo ana maumivu makali. Alifikiri kufanya kazi chamani ni kupata hela bwelele bila kufanya kazi. Mwambie aende ACT.
 
Back
Top Bottom