Enzi za ujahilia, CHADEMA nilipotea

Enzi za ujahilia, CHADEMA nilipotea

Chadema ni genge la waovu waliovaa ngozi ya kondoo kumbe ni mafisi
 
attachment.php

Eti Jamaa Naye Alikuwa Anataka Ubunge Kupitia CDM! Akomae Tu ACT Kuna Nafasi Kibao.
 
huruma kweli uzuri munajulikana bei yenu ndogo sana elfu 40 au 50 kikwete kawaweza kweli mutauza mapaji ya uso juwani bila mafanikio waamini wa mabadiriko wanaendelea kudunda masalia block nyang;nyang'a
 
frustration za job seekers mbaya sana wana njaa hadi kutengeneza propaganda wanashindwa
 
Huu upuuzi wa cdm asilia na wenzake haujaisha tu? Tuache upuuzi huu tufikirie katiba wandugu
 
Wewe mdogo wa mwisho wa akina Lukosi? Mbona mnafanana mno?
 
Chadema ni wabaguzi na udini ndio mana kila mlipo mnafikiria udini udini tu
Hoja zako zote na msimamo wako woote una meseji nzito kuliko unachotaka watu waamini. Unachojifanya kukipinga ndicho kimekupa nafasi ya kuwa mtetezi wa CCM... Unaowaita wabaguzi ipo siku wataujua ukweli kuwa wewe si mwana CCM isipokuwa kile unachosema watu wamekibeba ndicho kimekusukuma kwenda CCM?
 
wacha wafu wazikane.njaa mbaya sana ndugu zangu
hayo mambo anayo fanya huyo jamaa nikwasababu ya njaa yani kaweka akili yake mfukoni.
kama mume wao zito kaweka akili yake mfukoni alafu anatumia akili ya TISS na CCM hiyo yote kwasababu ya njaa.
sasa kama ccm wameweza kuwa nunua mkipewa nchi je si mtatuuza sisi sote.
atuwezi kuichukia cdm kwahajili ya maslai yenu binafsi NEVER"
 
pamoja tuseme na bado.

Gwiji wa sensitization PAULO FREIRE angekuwa hai nadhani katika vitu angehitaji kuwasaidia watanzania ni njaa na utaifa.njaa ni mbaya! tunahitaji kufika kwenye ukombozi wa kweli LAKINI WENYE NJAA WANAKIMBIA KWENDA KUJISALIMISHA KWA WEZI ILI WAPATE MKATE.KWELI TUNA SAFARI NDEFU.kila la kheri huko uendako.
 
Sitaki kuamini wewe ndiwe Njano5. Ila kama ndiwe, hakika Jalia ni zaidi ya majahilia; "kaburi" lako liwe makao ya shwaitwan na mafuasi wake; msaliti mkubwa.

Siyo vizuri KUMUHUKUMU binadamu mwenzio kwa kufata utashi wake na kile anachokiamini. Kila Mtanzania ana uhuru wa kufuata itikadi anayoiamini kulingana na vigezo vyake. Tusijengeane CHUKI na kutoleana LAANA kwa sababu za KIITIKADI. Tujifunze kuvumiliana na kufanya siasa za kistaarabu ili tudumishe AMANI na UPENDO.
 
si muda mrefu utakuwa kichaa kabisa!! CDM ni mpango wa Mungu,mapepo yote lazima yatoke!

Mungu yupi?? CDM kipo mikononi mwa wazinifu; huyo Mungu hawamjui wala amri zake hawazifuati hivi huoni kioja kumhusisha Mungu na CDM???
 
Back
Top Bottom