avogadro78
Member
- Feb 13, 2014
- 76
- 9
Kujadili cdm ni kupoteza muda maana inajulikana wazi kuwa ni special for kaskazini.mkumbukeni chacha wangwe
Matokeo ya kata zipi? una maanisha shule za kata za Lowassa na Kikwete au kata za uchaguzi?
kama ni kata zilizofanya uchaguzi ni kwamba hakukuwa na mshindi,maana ccm wamewanyang'anya cdm kata muhimu ya Nyasura Bunda ilhali cdm nao wakawanyang'anya ccm kata muhimu sana ya Sombetini(hapa lazima ukubali kuwa lema ni genious wa siasa) na nyingine ya Njombe mjini.Au NCCR kuchukua kata iliyokuwa ya chadema Kigoma kwa prezidaa ni sawa na ccm?
kweli wewe ni mfuasi wa rat killer!!
ama kwel ukipenda kipofu utaita chongo....yaani umewekewa hadi picha ya 'aliyekuwa' kamanda lakini bado unabaki kusema alikuwa gamba?!
by the way hata mada za Njano5 za mwanzoni zinathibitisha hivyo, sumbua kichwa kdg usikariri tu kama kasuku!!
Kujadili cdm ni kupoteza muda maana inajulikana wazi kuwa ni special for kaskazini.mkumbukeni chacha wangwe
umepata four ya arobain na ngapi?
wewe..ni nini kina KUTISHA ZAIDI CDM AU WACHAGA?Kujadili cdm ni kupoteza muda maana inajulikana wazi kuwa ni special for kaskazini.mkumbukeni chacha wangwe
Labda awaulize watu JIMBO la ubungo,,,huenda atapata jibu lake....NA BADO.
mleta mada ni kama punga hivi..
wewe ni popo,umepewa kichapo mpaka umesema kundi lako.nyuzi zako zinaonyesha ivo