Huu hapa Chini ni Wasifu wa Mwenyekiti wako wa Taifa.
Sasa sijui wewe ulikuwa nani,just bellow this..
==================
Ufuatao ni wasifu mfupi wa Mama huyu shupavu - Anna Mugwira au Anna Shadrack - Mwenyekiti wa Taifa wa ACT-Wazalendo
1. Alijitosa kinyang'anyiro cha ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki mara mbili 2010 na 2011; akapigwa mweleka na Joshua Nassari, Mbunge wa sasa.
2. Aligombea ubunge wa Afrika Mashariki, akashindwa.
3. Kutoka uchaguzi wa ndani ya chama (Chadema), akagombea Uenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Arusha, akashindwa.
4. Akakimbilia Singida, akagombea Uenyekiti wa BAWACHA Mkoa, akapigwa chini.
5. Akatoka nduki hadi Mlimani City ambako uchaguzi wa BAWACHA Taifa ulikuwa unafanyika, akagombea nafasi ya Katibu Mkuu taifa wa baraza hilo, akaambulia kura mbili.
6. Wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka jana, akaomba akabidhiwe Jimbo la Singida Mjijini (ambako pia ametangaza kugombea ubunge mwaka huu), akapewa unahodha. Kati ya mitaa 51 na vijiji 16, akafanikiwa kupata mjumbe mmoja - SIO MTAA.
Hatimaye akafanikiwa kufanywa Mwenyekiti wa Taifa wa ACT-Wazalendo.
Naomba kuwasilisha Barazani.
=============