Wewe jamaa uwa unanimaliza sana na hizi punch zako, hongera sana kwa kujitambua.
mnapongezana eti?pamoja tuseme na bado.
Hapa unamaanisha nini?? Mfumo dume wa chama chenu au????
Kwani Halima Mdee ni Mwanaume ??????
Chama cha A Y A T O L L A H Zitto.
Ww unamuonaje kwani?
Ww unamuonaje kwani?
Mkuu Dotto C. Rangimoto, nani anaitumia hii id yako kwa sasa!??. Kuna taarifa nimeziona mahala kuwa umejirestisha inipisi kukwepa mziki wa UKAWA hapo Octoba na liccm lako plus Act!?
Ndugu Mzito mmefikia wapi uanzishaji wa ACT?
Nafikir jibu la swali lako umeshalipata, ACT ndio chama kukubwa baada ya CCM na CHADEMA.
ndio chama kinachoongoza kwa ukuaji na usambaaj wa haraka kuliko chama chochote kwa sasa.
Kwel enz za ujahilia chadema nilipotea
Lakini Naona Kwa Staili Yako Bado Upo Kwenye Ujahilia Kwa Siasa Za Bongo Bora Uwe Kimya Tu Uondokane Na Ujahilia.
Act ndio mpango mzima
View attachment 141374
Enzi za Ujahilia,
CHADEMA nilipotea,
Namshukuru Jalia,
Kwani ameniokoa,
Loo! sasa najutia.
Enzi za ujahilia,
Nikikumbuka nalia,
Namshukuru Jalia,
Kwa aliyonitendea,
Hakika nilipotea.
Hakika nilipotea,
Njia niliyoiendea,
Kila nikifikiria,
Moyoni najisemea,
Rasini nilitimia?
Enyi mliobakia,
Dua ninawaombea,
Mpate kuiendea,
Njia ya kujitambua,
Nchi kuitumikia,
Babu anawatumia,
Yake yana muendea,
Yenu yana didimia,
Paka wana lialia,
Jikoni wamejilalia.
Paka wana lialia,
Jikoni wamejilalia,
Nchi ingejipatia,
Nguvu nilizojitolea,
Ajabu najionea.
Ajabu najionea,
Wachache wajijengea,
Ngome za kujilindia,
Viti walivyo kalia,
Mafurushi wajilia.
Mafurushi wajilia,
Bila haya nawambia,
Tena wanasingizia,
Gharama walizingia,
Risiti wa'zi chezea.
Hayo yakiendelea,
Kasheshe ipo Songea,
katibu ajionea,
Paka walio zoea,
Jikole kulichezea.
TIMU UZALENDO.
Njano5.
0784845394.