mzaziaged
Senior Member
- Oct 16, 2013
- 198
- 29
Enzi hzo jf ikiwa mwanzoni kabisa, ilukua haipendwi na ccm, walishapendejeza kabisa ifutwe kwa hoja ya kusema eti inaeneza udini, ukabila na kuvuruga amani kwa kigezo cha kuona cdm inaeneza hoja zake na kukubalika, now days ni enzi za mwigulu nchemba, hali si hali tena kwani ameonga vikundi vya watu pesa na smart phone ili kuhakikisha wanachafua hoja za cdm