Enzi za mwalimu katika jamii forum

mzaziaged

Senior Member
Oct 16, 2013
198
29
Enzi hzo jf ikiwa mwanzoni kabisa, ilukua haipendwi na ccm, walishapendejeza kabisa ifutwe kwa hoja ya kusema eti inaeneza udini, ukabila na kuvuruga amani kwa kigezo cha kuona cdm inaeneza hoja zake na kukubalika, now days ni enzi za mwigulu nchemba, hali si hali tena kwani ameonga vikundi vya watu pesa na smart phone ili kuhakikisha wanachafua hoja za cdm
 
Enzi za sasa:
"Waraka huu umetoa matusi mazito dhidi ya Mwenyekiti wetu,ikiwamo kuitwa kuwa ana elimu ya chini na ana akili ndogo na nzito,halafu mtu huyo huyo alietoa matusi hayo dhidi ya kiongozi wake wa chama anadai eti anakiheshimu chama,kwa hili tumewashitukia,"alisema Tundu Lissu.
 
Back
Top Bottom