Enzi za kuusunda!

Hapa napata chai, viazi vya kuchemsha na karanga za kukaanga. Kiroho sana nakukaribisha ndugu Mshana Jr, nimefurah umerudi salama.
 
Huu utani kama ukweli juu ya dada zangu sijaupenda mkuu!

tunaheshimiana sana.

Mbona mi sisemi mkeo ana miguu mibaya!???
Kwa kuiangalia umeiona ni mibaya hiyo miguu?Au unamsemea mke wake mwingine??[emoji15]
 
Shule ya msingi na kaptula za kaki rafiki yangu aliusunda na vijiti sasa hakuvifunga vizuri na mkanda ile amepigwa fimbo ya kwanza tu vijiti vikadondoka chini[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
 
Dogo mbna kavaa begi zima asee sijui siku ya kufua j5 na jumamosi inakuaje.

Wengne kufua ilikua mwiko mpaka anapata mifugo( chawa).
 
Unaadhibiwa ili ubadilishe tabia mbaya na uwe na tabia nzuri. Sasa dogo yeye anajua kabisa hawezi badilika hivyo ngoja asunde tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…