Vikao vya mwaka ndugu yangu vya mambo yetu yale [emoji23] [emoji3]
Vipi tena ilivunjwa na shem kisa mchepukoKaka kupatwa kwa smart phone si mchezo ujue
Wewe ukivaa huwezi kushtukiwa maanake una flat screen!!!tulikuwa tunaziita ribiti.. vaa sana hizi kitu
Wewe ukivaa huwezi kushtukiwa maanake una flat screen!!!
hawawezi ilikuwa ngumu kujua labda kasketi kafunuke wakati nachapwaWewe ukivaa huwezi kushtukiwa maanake una flat screen!!!
asante kakaHuu utani kama ukweli juu ya dada zangu sijaupenda mkuu!
tunaheshimiana sana.
Mbona mi sisemi mkeo ana miguu mibaya!???
[emoji15] [emoji87] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Huu utani kama ukweli juu ya dada zangu sijaupenda mkuu!
tunaheshimiana sana.
Mbona mi sisemi mkeo ana miguu mibaya!???
Ila mzigo anao....nakumbuka wakati tuko shule walimu walikuwa wanahisi amesunda hizo kitu, kumbe Neema za Allah tu!Huu utani kama ukweli juu ya dada zangu sijaupenda mkuu!
tunaheshimiana sana.
Mbona mi sisemi mkeo ana miguu mibaya!???
Sasa ulikuwa unajaladia nini? Chupiitulikuwa tunaziita ribiti.. vaa sana hizi kitu
vikaptula vya jinsi ..Sasa ulikuwa unajaladia nini? Chupii
pole na huko umekosa michezo mingiMimi nina bahati mbaya sana, shule nilizosoma hazikuwa na fimbo kwahiyo hayo mambo ya kuusunda nimeyakosa kabisa, wenzangu mlifaidi sana utoto.
Kwetu wasichana walikuwa wanachapwa mikononivikaptula vya jinsi ..
kwetu unaingizwa kichwa chini ya meza halafu unaambiwa inua tako juu wewe zikikuingia unaingia unannyanyuka na meza .Kwetu wasichana walikuwa wanachapwa mikononi
Daah!! Waalimu walifaidi sanaa mafedhuli sana hao!kwetu unaingizwa kichwa chini ya meza halafu unaambiwa inua tako juu wewe zikikuingia unaingia unannyanyuka na meza .
acha kabisaDaah!! Waalimu walifaidi sanaa mafedhuli sana hao!