Enzi za kuusunda!

Kwa jicho la mbali bila shaka hio ni office ya walimu......
 
Usirudie tena mkuu! watu mpaka wamekuanzisha thread umekufa..mara wewe ndo scorpion!

mara wewe ndo yule mganga aliyeanguka na ungo mbagala!

dah...acha kabisa hii makitu. tafuta hata cyber cafe utume ujumbe huku bana...
Mentor jana nimecheka sana nilipotumiwa link kama tatu hivi!
 
Nakumbuka hizi swaga, mtu una vikaptura viwili vya jinzi unavitinga daily. Siku ticha akikuambia vua ndo noma maana vingine unakuta havifuliwi kabisa hata mwaka unaisha.
 
Hahahah,hiyo ulikuwa ukikutana na teacher aliyepitiaga hizo enzi zake,anakulamba fimbo ya miguuni,mikononi au mikono,zaid atakwambia kazipunguze
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…