Enzi ulipokuwa boarding

Pale Umbwe sec kwenda maputo(chooni) ilikuwa ni inshu,maputo yalikuwa yamefurika hadi wale wadudu weupe walitoka hadi nnje,unavua nguo zote unakata gogo likidondoka tu unasimama kukwepa maji yasikurukie,shida tupu

form one bwana kucheza matangazo ya vifo

nimekumbuka kowak girls nikiwa 4m3 jamani shule za masista cku hyo kaja kukagua vyoo na bafu kakuta m2 kaacha pedi(Always)bafuni kuuliza wote kima alichofanya akakusanya zote akaweka kwenye ndoo za maji akakoroga ikawa nyekundu then 2kapanga mstari kunawa then unapokea kikombe cha uji unywe hapohapo ukimaliza ndo 2kanawa 2kaenda claz walai ctakaa nisahau khaa

Jamani tuliosoma Ilboru,
Mnakumbuka kwa miaka yote mmeoga mara ngapi?
Ile baridi ya pale nomaaa! Mi nilikuwa naoga siku za KITEI tu!

Nakumbuka enzi hizo nasoma Mara Sec.. yaan mnawaza kugombana na Musoma Tec. Sababu zenyewe za maana hakuna yaan mkikutana..ndo tuseme kwenye UMISSETA mazee yaan mnapeana kichapo cha mbwa mwizi..nakumbuka game ilipigwa Musoma Tec tukamvunja jamaa Yao mguu.Ebwanaee jamaa Hawakujua mambo ya 'fairplay' walitukimbiza Kama km6..kwa masela angalau ilikuwa poa..ila mademu wetu jamaa waliwapa taabu..sipati kusimulia..haya maisha tumetoka mbali!!

Hii thread imenifanya nimejua watu kwa majina yao kbsa me enzi hzo Kiranja wa bweni unamwaga maji then Form one wanatambaa wanadeki nkiamka naweka kikombe dogo anaenda kuchukua uji

Mmmh! Hapo hamkurudia tena...

Hii thread imenifanya nimejua watu kwa majina yao kbsa me enzi hzo Kiranja wa bweni unamwaga maji then Form one wanatambaa wanadeki nkiamka naweka kikombe dogo anaenda kuchukua uji

Halafu sukari,blueband na vitafunwa ni jukumu la huyo dogo.

Daa nakumbuka wakati tupo form one kuna rafiki yang alikuwa anategea wakati watu wanapiga kelele sana yeye anajamba. Basi kuna siku kelele zilikuwa nying kweli ile jamaa anajamba 2 darasa zima likawa kimya gafla watu walicheka noma balaa ningekuwa mie nngetafuta uhamisho fasta ila jamaa alikaza mana ilikuwa mchanganyiko.

there was this gigantic dude who always foorced mto sing for him till he fell a sleep.... that was so nasty of him,.

Du nimekumbuka form 1 nilikuwa nikila chakula jioni najikuta napata njaa mapema. Hivyo nikaamua niwe nakula paka kuvimbiwa. Hiyo ikanisaidia sana. Siku moja ijumaa nilikula kiepe nje ya shule kurudi dining hall nikasahau kama nlikula chips hivyo nikajilazimisha kula na kuvimbiwa sana paka nikawa nalia mwenyewe baadaye ndo nkakumbuka huku nikiwa hoi

Tehtehteh hii mada inanikumbusha wakati 2naingia form5 mambo ya disco welcome form5 2ko 600 wasichana 80 kazi kweli2 basi mi na wenzangu 2kaamua kucheza mableka kwa kugöngagonga miguu na kuchezesha mikono kama bata yani ilikuwa ni noma tena karibia wote 2liku pcb kweli ilikua ni noma

ninakumbuka siku ya kwanza kuingia bwenini tukakabidhiwa tishu paper basi mimi na mshikaji tukiwa tunatoka bush si tulidhania ni matunda tukapeleka mdomoni ili tule jamaa wacha watucheke.

Mbona shule zinazotajwa ni ilboru, kibaha,mazengo..duh kumbe enzi zenu shule zilikuwa chache kweli. Mmenikumbusha madenge alipoambiwa na dingi yake kwamba enzi wanasoma yeye alikuwa akifeli sana anakuwa wa3, ndipo madenge akamuuliza baba yake ina maana zamani nyie mlikuwa mnasoma wa 3 tu darasani? Manake kila mtu eti akifeli sana wa3

mdoe huyo hahaaaa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…