Enzi hizo mpira mnausikilizia redioni kwenye duka la mangi ilikuwa raha sana. Unamsikia mtangazaji ..... Zamoyoni anakwendaa....anakwendaaa... Zamoyoni.......Zamoyoni.......anakwendaaaa....anakwendaaaa.anapiga chenga pale Zamoyoni..... anakwendaaaa.anapiga shuti pale gooooooooo...laaaaaa.ananyaka vizuri pale golikipa. Watu walishashangilia zamaaani wanarudi kwenye benchi wamenyweaaaa...