Enzi Hizoooooooooo RIP

Enzi Hizoooooooooo RIP

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,092
542347_469887056405791_611471548_n.jpg
 
Zamoyoni mogela akimtambulisha method mogela,huku hamis gaga husen masha wakiangalia.
 
Hivi siku hizi kuna vipaji kama walivyo kuwa hao?
Akina Sunday Manara nk.
 
Zamoyoni mogela akimtambulisha method mogela,huku hamis gaga husen masha wakiangalia.
Huyo mmoja ambaye sura yake imetokeza begani kwa Zamoyoni Mogella na Khalfan Ngasa a.k.a Babu. Baba wa Mrisho Ngasa. mwingine ndio simkumbuki.
 
yeah ni yeye mkuu, huyu jamaa alifariki akiwa bado mbichi kabisa na kifo chake kilitokea ghafla mno baada ya kuugua kwa muda mfupi sana

Ni yule mfungaji magoli Simba na Yanga? Aisehhhhhhh !!! Inaelekea vipaji vinaua.
 
Enzi hizo mpira mnausikilizia redioni kwenye duka la mangi ilikuwa raha sana. Unamsikia mtangazaji ..... Zamoyoni anakwendaa....anakwendaaa... Zamoyoni.......Zamoyoni.......anakwendaaaa....anakwendaaaa.anapiga chenga pale Zamoyoni..... anakwendaaaa.anapiga shuti pale gooooooooo...laaaaaa.ananyaka vizuri pale golikipa. Watu walishashangilia zamaaani wanarudi kwenye benchi wamenyweaaaa...
 
Huyo mmoja ambaye sura yake imetokeza begani kwa Zamoyoni Mogella na Khalfan Ngasa a.k.a Babu. Baba wa Mrisho Ngasa. mwingine ndio simkumbuki.

Nadhani ni Bakari Iddi rip
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom