Enzi hizooo maji kwenye Mtungi

Enzi hizooo maji kwenye Mtungi

Maji ya kwenye Mtungi yamesabisha pombe kuitwa mtungi kifupi 'tungi kwa jinsi yanavyopoza mwili na kukuburudisha
 
Mwepesi sana kunako nane kwa nane kwenye yale mambo yetu ambayo ukiwa mdogo mama anatukataza anasema ni mchezo mbaya ila tukikua usipofanya utasemwa mpaka na mjumbe wa nyumba kumi
 
Mwepesi sana kunako nane kwa nane kwenye yale mambo yetu ambayo ukiwa mdogo mama anatukataza anasema ni mchezo mbaya ila tukikua usipofanya utasemwa mpaka na mjumbe wa nyumba kumi
Hahaha mkuu umejua kunichekesha kweli Siku hizi nimekuwa bonge bonge kidogo
 
Kwani kushare ni umaskini? Acha mentality za kisomi, mm hadi leo nikienda kileji naenjoy kula msosi na mboga sahani moja kundi kubwa la watu,

Msomi usiyefahamu kuna magonjwa kibao yanapatikana kwny mate.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom