Enzi hizooo maji kwenye Mtungi

Enzi hizooo maji kwenye Mtungi

Natural freezer... Good old times.. Ilikuwa nzuri sana tatizo kwetu kutokana na umaskini tulikuwa tunashare hiko kikombe.
Enzi hizo kulikuwa hakuna magonjwa ya ajabu ajabu kama siku hizi,enzi hizo mna share kikombe hicho hicho kimoja,
ukikuta maji yamebaki unamalizia kwa kumwaga kiasi kidogo chini,yalobaki unakunywa, sijui nani alisema ukimwaga kidogo yanakuwa salama.
 
Au kama yana vumbi unaweka nguo kwa juu ya kikombe ili kuchuja
 
Hahaha shosti me nilikuwa nagombaniwa maana sio kwa machejo yale mtt wa kike najua kuitwa njoo huku wengine njoo huku basi tafranii..nikiingia ulingoni nguli mm mpaka mnitoe makwapa ya wazingaji yameomba poo...haha looh sijui kwann hii michezo mingine haikupewa kipaumbele khaa tungejipatiaga hata medali za chuma,.
Haha acha kabisa medali zingehusika enzi hizo tungejinyakulia tuzo nyingi Sana'a

Nakumbuka hadi ilibidi niwe changia,kote kote,maana na wembamba ule nikilala mpira unapita juu tu

Nikirudi nyumbani nguo vumbi tupu kama mchimba madini hahaha
 
Natural freezer... Good old times.. Ilikuwa nzuri sana tatizo kwetu kutokana na umaskini tulikuwa tunashare hiko kikombe.
basi nyie hamkuwa wastaarabu sisi hicho kikombe kilikuwepo lakini kilikuwa cha kuchotea na kuweka kwenye kikombe kingine
 
Haha acha kabisa medali zingehusika enzi hizo tungejinyakulia tuzo nyingi Sana'a

Nakumbuka hadi ilibidi niwe changia,kote kote,maana na wembamba ule nikilala mpira unapita juu tu

Nikirudi nyumbani nguo vumbi tupu kama mchimba madini hahaha
Hahaha yaani ilikuwa raha jamanii rede,makidamakida,komborela,kubembea,kidali poo,mdako ooh jamanii natamani niurudie utoto
 
Maji ya mtungini tena yawekwe nyuma ya mlango,weeee ule utamm wake jomonii sijawahi upata tena,.hapo ndio kombolera au rede ya mstari kati imenogaa ukibabuliwa tuu unakimbilia nyuma ya mlango woiii
Huu uandishi kama naujua hivi ..
Kuna dada angu sijamuona kitambo sana hapa ndani. Anafanana uandishi na wewe.
 
Haha acha kabisa medali zingehusika enzi hizo tungejinyakulia tuzo nyingi Sana'a

Nakumbuka hadi ilibidi niwe changia,kote kote,maana na wembamba ule nikilala mpira unapita juu tu

Nikirudi nyumbani nguo vumbi tupu kama mchimba madini hahaha
Kumbe ndio maana uko hivyo?
 
Nakumbuka glass tulikuwa tunashea,, ila magonjwa hayakutokea,,, kikombe kimoja tunanywea woteeeeee na hakuna kujistukia,,

Ila siku hizi usafi mwingi na magonjwa kibao
 
Waarabu na Wahindi wenye maduka jijini Dar walikuwa wanaweka mitungi yenye maji ukishikwa na kiu unachukua kikombe unachota unakunywa unaendelea na shughuli zako. Walikuwa wakarimu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom